JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Mambo ya msingi yasiyozungumzwa  kwenye siasa za maridhiano Afrika

KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Kumekuwa na hoja kutoka kwa wanasiasa na wadau wa siasa kuhusu kutaka maridhiano kutoka pande zote; wa upinzani na chama tawala, na hadi inaingia Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na madai hayo ya wanasiasa…

Kiswahili chaongoza ufaulu nchini

*Ni matokeo ya mitihani ya darasa la nne, kidato cha pili na cha nne 2021 DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wakati ufaulu katika somo la Hesabu kwa wanafunzi wa madarasa mbalimbali nchini ukiporomoka, somo la Kiswahili limetajwa kuongoza katika…

Baraza la Mawaziri 1963

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Umri wa mawaziri umekuwa gumzo kwa nyakati tofauti, wengi wakitamani kuona Baraza la Mawaziri likitawaliwa na vijana. Na hata wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipofanya mabadiliko mapema mwezi huu, hoja hiyo iliibuka tena. Ni…

Uspika tusipime maji kwa miguu miwili

Na Deodatus Balile, Dar es Salaam Mwezi huu aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, amejiuzulu. Ndugai ambaye ni Mbunge wa Kongwa, amejiuzulu kutokana na maneno makali aliyoyatoa Desemba 28, 2021 akiishambulia serikali kwa kuchukua mikopo kutoka nje ya nchi. Kilicholeta…

TEF kuwakusanya wahariri Afrika

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Wahariri wa vyombo vya habari kutoka nchi mbalimbali barani Afrika wanatarajiwa kukutana mara mbili nchini Tanzania, ndani ya miezi miwili, JAMHURI limeelezwa. Katika matukio hayo ya kihistoria, wahariri kutoka zaidi ya mataifa 10 ya…

Kisubi aliposajiliwa aliambiwa nini?

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu  Kuna nyakati mtu unabaki ukicheka tu kutokana na hali inavyokwenda. Kuna golikipa mmoja amewahi kunichekesha sana. Huyu ni Jeremiah Kisubi, golikipa wa Simba aliyetolewa kwa mkopo kwenda kwa wakata miwa wa Morogoro, Mtibwa Sugar…