Category: Kurasa za Ndani
Afrika tulipokosea Urusi Moscow, Urusi
Kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza nchini Urusi mwaka 2018, kulikuwa na matumaini makubwa kuwa Afrika ingeendeleza kasi ya ukuaji katika soka kama ilivyofanya nchini Brazil mwaka 2014 wakati wawakilishi wake wawili – Nigeria na Algeria walipofikia hatua…
Moyo wa hisani unatupiga chenga Watanzania
Majuma mawili yalilopita nilishiriki hafla ya kuchangisha pesa za hisani iliyofanyika Ojai, kwenye Jimbo la California nchini Marekani. Ni hafla inayoandaliwa kila mwaka na Global Resource Alliance, shirika lisilo la kiserikali linalosimamia utekelezaji wa miradi ya kusaidia jamii mkoani Mara….
BAJETI YA 2018/2019 Tutakakofanikiwa, tutakakofeli
DAR ES SALAAM NA FRANK CHRISTOPHER Ikiwa ni bajeti ya tatu kwa Serikali ya Awamu ya Tano, bajeti ya mwaka 2018/2019 iliwasilishwa bungeni Juni 14, mwaka huu ikilenga vipaumbele mbalimbali na hasa katika ujenzi wa msingi wa uchumi wa…
Taifa limefikaje hapa? (1)
Kutokana na ile makala yangu “Pilipili usizozila zakuwashiani?” nimepokea mrejesho wa kushangaza kutoka wasomaji wa JAMHURI. Moja ya SMS hizo ilisomeka hivi nainukuu: “Brigedia Jenerali Mstaafu Francis Mbenna, shikamoo mzee wangu na hongera kwa makala zako nzuri na zenye kuelimisha…
Tarime kwawaka
Tarime kwawaka *Vijana wachachamaa Zakaria kukamatwa usiku *Namba gari la ‘TISS’, la raia Tarime zafanana *Shabaha yamwokoa Zakaria, aliwindwa siku 7 *TISS waliojeruhiwa yadaiwa walitoka D’ Salaam TARIME NA MWANDISHI WETU Utata umezidi kuibuka kwenye tukio la…
Huduma za Mwendokasi ziboreshwe
DAR ES SALAAM ALEX KAZENGA Watanzania tulio wengi tu wazuri kuzungumza, lakini kwenye kutenda baso tunasuasua. Linapokuja suala la kutenda mipango tunayozungumza huwa tunakwama-kwama. Sijajua nini tatizo na kwanini tuwe kwenye hali hiyo au kwanini hatupati suluhisho la kudumu. Nikiutazama…