Category: Kurasa za Ndani
RPC apuuza amri ya mahakama
Dar es Salaam Na Alex Kazenga Kamanda wa Polisi Mkoa wa kipolisi (RPC) Ilala, Deborah Magiligimba, anadaiwa kupuuza amri ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, JAMHURI linataarifu. Inadaiwa kuwa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imemuandikia barua RPC kumtaka…
Mbunge amnusuru diwani uhujumu uchumi
BUSEGA Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Busega, Simon Songe, amemnusuru Diwani wa Mkula, Goodluck Nkalango, kupewa kesi ya uhujumu uchumi. Nkalango na viongozi kadhaa wa Kijiji cha Kijilishi wanadaiwa kutorosha fedha za umma takriban Sh milioni 7.8. Mkuu wa Wilaya…
Dk. Mwinyi: Uchumi wa Buluu utaboresha sheria
Dodoma Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema ana matumaini kuwa iwapo dhana ya Uchumi wa Buluu itaeleweka vema kutakuwa na nafasi nzuri ya kurekebisha na kuboresha sheria na taratibu…
Mulamula: Ni muhimu Warundi kurudi kwao
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, amesema Tanzania na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) wataendelea kushirikiana katika kuwarejesha nyumbani wakimbizi wa Burundi….
Sababu mazungumzo ya Marekani, Iran kusuasua
Na Nizar K Visram Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres alitangaza hivi karibuni kuwa Iran imechelewa kulipa mchango wake, kwa hiyo haki yake ya kupiga kura inasimamishwa. Mwakilishi wa Iran katika UN alieleza kuwa uchelewashaji huo umetokana…
Mambo ya msingi yasiyozungumzwa kwenye siasa za maridhiano Afrika
KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Kumekuwa na hoja kutoka kwa wanasiasa na wadau wa siasa kuhusu kutaka maridhiano kutoka pande zote; wa upinzani na chama tawala, na hadi inaingia Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na madai hayo ya wanasiasa…