JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Mtatiro amewahi kuisema hivi CCM

Maneno haya yaliandikwa Desemba, 2017 na Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Julius Mtatiro ambaye wiki iliyopita ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga CCM. Chini ya kichwa cha habari “Comrade Samson Mwigamba amenigutusha kitandani, Mtatiro alilaani uamuzi wa aliyekuwa Katibu…

Mafisadi wapiga

*Waorodhesha simu, majina hewa ya watu *Mbinu hiyo yawafanya watumbue mamilioni *Watumishi 11 wakiona cha moto, wafukuzwa ARUSHA NA MWANDISHI WETU Ufisadi wa mamilioni ya shilingi umebainika kufanywa kwenye miradi ya baiogesi inayosimamiwa na Kituo cha Zana za Kilimo na…

Dodoma walizwa

Kampuni uuzaji viwanja, nyumba yafanya yake * Mamia waambulia patupu, waangua vilio * Ilitambulishwa bungeni kwa mbwembwe nyingi DODOMA NA MWANDISHI WETU Baadhi ya watumishi wa umma na watu binafsi jijini Dodoma wanalalamika kutapeliwa na kampuni ya uendelezaji ardhi, ya…

Ole wenu mnaokaa kimya!

Mwanzo nilidhani tunaopinga usaliti wa wanasiasa wanaojiuzulu udiwani na ubunge na kwenda vyama vingine, tu wachache. Sikuwa sahihi. Baada ya kuliandika suala hili kwa mara ya tatu wiki iliyopita, nimepata mrejesho mkubwa. Wapo Watanzania wa kutosha wanaopinga hiki kinachoendelea. Vyama…

Waziri Kairuki tembelea Nyasirori

Sisi wananchi wa Nyasirori, Butiama mkoani Mara, tunaomba kujua faida za huu mgodi wa dhahabu kijijini kwetu. Tangu kuanzishwa kwa mgodi huu kwa kweli hatuoni mafanikio yoyote ya maana kwetu wananchi wa kawaida. Tunachokiona ni baadhi ya viongozi wa kitaifa…

Jabir Kigoda ahusishwa magari ya wizi

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Mfanyabiashara, Jabir Kigoda, anakabiliwa na tuhuma za kukutwa na magari matatu yanayodaiwa kuwa ni ya wizi. Magari hayo ya kifahari yamo kwenye orodha ya magari yaliyoibwa nchini Afrika Kusini. JAMHURI limeambiwa kuwa Shirikisho la…