Category: Kurasa za Ndani
Sheria vyama vya siasa ibadilishwe
Mfumo wa vyama vingi vya siasa hapa nchini ulirejeshwa miongo miwili na nusu iliyopita, katika safari hiyo kumekuwa na malalamiko lakini pia maboresho ili kulinda tunu za taifa na kudumisha mshikamano na umoja wa kitaifa. Agosti mwaka jana Ofisi ya…
Udokozi unatuangusha Watanzania
Udokozi unatuangusha Watanzania Nimemwona na kumsikia Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro, wa kigeni akiendesha mtambo kwenye ujenzi wa barabara moja wil Muro, anasema si sahihi kwa mgeni kufanya kazi hiyo ilhali wapo W wenye sifa na ujuzi. Amenikumbusha…
Kiama kipya *Sheria kuwabana wahama vyama yaiva,
Kiama kipya *Sheria kuwabana wahama vyama yaiva, wengi kulia *Wanaohamia CCM waambiwa wanaingia kwenye safina *Watabanwa wasihamie upinzani uchaguzi mwaka 2020 NA MWANDISHI WETU Wanasiasa wanaohama vyama wanakabiliwa na mtego mwingine mpya, JAMHURI limethibitishiwa. Mpango huo uko kwenye hatua za…
Fedha za Uchaguzi Mkuu zawaponza
MOSHI NA CHARLES NDAGULLA Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kilimanjaro imewafikisha mahakamani mtumishi wa halmashauri na mfanyabiashara wakituhumiwa kufuja fedha za Uchaguzi Mkuu mwaka 2015. Safari hii waliofikishwa mahakamani ni Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi…
Rais Magufuli: Dada Monica alikuwa na moyo wa kipekee
Na Mwandishi Wetu, Chato Dada wa Rais Dk. John Magufuli, Monica Joseph Magufuli, aliyefariki dunia wiki iliyopita katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza amezikwa katika makaburi ya familia yaliyopo katika Kijiji cha Mlimani wilayani Chato, Geita. Mazishi hayo yalitanguliwa na…
Unaikumbuka ‘Whisky Soda’ ya Bembeya Jazz?
Na Moshy Kiyungi, Tabora Wimbo uliojizolea umaarufu mkubwa miaka ya nyuma ulikuwa wa ‘Whisky Soda’. Hapana shaka wenzangu wenye umri mkubwa watakuwa wanaukumbuka wimbo huo uliopigwa katika mtindo wa aina yake. Hiyo ilikuwa ni kazi nzuri ya bendi ya…