Category: Kurasa za Ndani
Utawala wa sheria utatuepusha ya Makonda
Na Deodatus Balile Wiki tuliyoimaliza imekuwa na matukio mengi. Tumesikia kifo cha Mkurugenzi wa Fedha na Mipango wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Mtawa Susan Bathlomeo. Kifo hiki kimeacha maswali mengi. Wapo wanaosema amejirusha, wapo wanaosema amerushwa kutoka ghorofani. Mpaka sasa…
UN yabisha hodi Uganda
Umoja wa Mataifa (UN) umezitaka mamlaka za kisheria nchini Uganda kuitisha uchunguzi huru dhidi ya machafuko yaliyotokea nchini humo na kusababisha kukamatwa na kuteswa kwa wabunge, akiwemo nyota wa zamani wa muziki, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine. Mkuu wa…
Ratiba Taifa Stars balaa
NA MICHAEL SARUNGI Mabadiliko ya ratiba yanayofanywa kila mara na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ni miongoni mwa changamoto zilizoshindikana kupatiwa ufumbuzi huku klabu zikiendelea kuumia kwa kulazimishwa kuandaa bajeti ya…
Serikali ikate rufaa kesi ya IPTL
Mwishoni mwa Agosti mwaka huu Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID) imeikataa rufaa ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kupinga hukumu ya kuilipa Benki ya Standard Chartered Dola za Marekani milioni 148.4 (sawa na Sh bilioni…
Airtel kitanzini
*Walimuuzia mteja vocha ‘feki’ ya Sh 5,000 *Mahakama yaamuru wamlipe Sh milioni 10 Na Mwandishi Wetu Mtanzania Simon Mkindi, ambaye ni mkazi wa Ubungo Maziwa jijini Dar es Salaam, mwezi uliopita ameweka historia isiyofutika nchini baada ya kuishtaki Kampuni ya…
Merkel atua Afrika
Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amefanya ziara barani Afrika kwa kuzitembelea nchi za Ghana, Mali, Niger, Ethiopia, Misri na Senegal. Ziara hiyo ilikuwa yenye kuzungumzia changamoto ya uhamiaji haramu na kuimarisha uhusiano wa kibiashara. Akiwa nchini Ghana kiongozi huyo amekutana…