JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Hatari mpya

*Wataalamu waonya usafiri Ziwa Victoria si salama *Wahoji nchi ilivyojiandaa kukabili majanga mapya *Wengi wakumbuka yaliyotokea kwa MV Bukoba *Waziri Mkuu aeleza ya moyoni, kivuko kuvutwa Na Mwandishi Wetu, Ukara Wahandisi na wataalamu wa majanga wamesema Tanzania inakabiliwa na hatari…

Mjue Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka

  DAR E SALAAM NA MWANDISHI WETU, Akiwa ziarani katika Mkoa wa Simiyu, Rais John Magufuli, alimsifu Mkuu wa Mkoa huo, Anthony Mtaka, na kumtaja kama kiongozi mahiri aliyefanya mambo mengi, mazuri kwa muda mfupi. Akasema awali alipopendekeza jina la…

Ndugu Rais Katibu Mkuu CCM awe tumaini letu

Ndugu Rais, ni lini mwokozi wangu atapita kwangu nami nipate kuligusa pindo la vazi lake ili haya ninayowalilia waja wake yafike mwisho? Maskini aliye na raha ya Mungu ana raha ya milele! Chama Cha Mapinduzi kimepata Katibu Mkuu mpya. Na…

MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (38)

Na Pd. Dk. Faustin Kamugisha Mtandao chanya wa watu ni sababu ya mafanikio. Huwezi kupiga makofi kwa mkono mmoja. “Ukitaka kwenda kwa haraka sana, nenda peke yako. Ukitaka kwenda mbali, nenda pamoja na wengine.” (Methali ya Kiafrika). Hawa wanaotajwa kama…

Ujenzi wa barabara waathiri makazi Temeke

NA ALEX KAZENGA DAR ES SALAAM Wananchi wa Kata ya Makangarawe, Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wameulalamikia ujenzi wa barabara za mitaa unaofanywa kwa kiwango cha lami katika mitaa hiyo wakidai kuharibu makazi yao. Ujenzi huo umeanza kutekelezwa…

Polisi yanasa bunduki 180, uhalifu wapungua

  KHALIF MWENYEHERI NA CATHERINE LUCAS, TUDARCO Jeshi la Polisi nchini limekamata silaha 187 katika kipindi cha Juni mwaka jana hadi Septemba mwaka huu, huku vitendo vya mauaji vikipungua kutoka 1,538 na kufikia 1,311 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa…