Category: Kurasa za Ndani
Senegal kuanza kuzalisha chanjo za corona
DAKAR, SENEGAL Senegal imetangaza kuwa imeanza maandalizi ya kuzalisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa corona. Inaungana na nchi nyingine kadhaa za Afrika ambazo nazo zimetangaza mipango yao ya kuzalisha chanjo dhidi ya ugonjwa huo ambao umeisumbua dunia kwa zaidi ya…
Bei ya mafuta yaanza kupanda tena
LONDON, UINGEREZA Bei ya mafuta katika soko la dunia imeanza kupanda baada ya kuwa chini kwa kipindi kirefu kutokana na madhara ya janga la COVID-19. Bei ya pipa moja la mafuta ilifikia dola 70 jijini New York katikati ya wiki…
Maelfu wakabiliwa na njaa Tigray
ADDIS ABABA, ETHIOPIA “Kuna njaa hivi sasa huko Tigray.” Ni kauli liyotolewa na ofisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa, Mark Lowcock, na kuwashtua watu wengi. Alikuwa akielezea hali ilivyo katika Jimbo la Tigray nchini Ethiopia ambalo kwa…
Nafasi ya mwanamke katika Uislamu
Makala hii yenye anuani ‘Nafasi ya mwanamke katika Uislamu’ inakusudia kuweka wazi namna Uislamu ulivyompa heshima mwanamke, kinyume cha yale madai kuwa Uislamu umemdhulumu mwanamke na umemnyima haki zake mbalimbali. Wakati mwingine madai kama haya yanatokana na kukosa kipimo sahihi…
Chrisant Mzindakaya: ‘Umonsi wa masumo’
Na Joe Beda Rupia Ni msiba mkubwa mjini Sumbawanga. Huenda msiba huu ndio mkubwa zaidi kuwahi kuukumba Mkoa wa Rukwa tangu Februari 1994 alipofariki dunia Askofu Karolo Msakila. Dk. Chrisant Majiyatanga (jina la utani la baba yake alilorudi nalo nyumbani…
Ashtushwa na matamshi ya Othman
ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Baraka Mohamed Shamte, ameyatilia shaka matamshi ya mara kwa mara ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman, akisema yanaweza kuvuruga upepo na ustawi wa umoja wa kitaifa….