JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Mke kutoa matunzo kwa mume likoje kisheria?

Na Bashir Yakub Kisheria ndoa inapokuwa imefungwa kuna haki za msingi ambazo huibuka. Hizi huitwa haki za moja kwa moja (automatic right).  Huitwa haki za moja kwa moja kwakuwa hazina uhiari katika kutekelezwa kwake.  Kuwapo kwa ndoa ndiko kuwapo kwake, hivyo haihitaji mtu kuziomba. Kimsingi haki hizi zipo nyingi, ambapo tutaona baadhi yake hapa, huku makala ikijikita katika haki moja ya matunzo kwa wanandoa.          1. Baadhi ya haki zinazoibuliwa na ndoa                               (a) Haki ya tendo la ndoa.  Hii ni haki ya lazima kwa wanandoa na kutokuwapo kwake kunaweza kubatilisha ndoa iwapo mmoja wa wanandoa ataamua kufanya hivyo. Ni haki ambayo huchukuliwa kama ndiyo ndoa yenyewe, hivyo kuifanya kuwa na umuhimu wa pekee. ( b ) Haki ya kutumia jina la mume. Hii  ni haki aliyonayo mwanamke ambapo anaruhusiwa kutumia jina…

BAJETI 2021/22 Prof. Ngowi, vyama wachambua bajeti

DAR ES SALAAM Na Waandishi Wetu Wachambuzi wa masuala ya uchumi nchini wameunga mkono bajeti iliyosomwa bungeni wiki iliyopita, ila wameeleza maeneo yanayohitaji ufafanuzi ili kuondoa wasiwasi wa wananchi. Wamezungumzia hoja ya serikali kutaka ipanue wigo wa ukusanyaji kodi. Profesa…

Rais Samia mwokoe aliyebambikiwa mauaji

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Ndugu wa mmoja wa mahabusu aliyepo katika Gereza la Keko anayetuhumiwa kwa kesi ya mauaji, Saidi Hamisi Lubuva, wameangua kilio ndani ya ofisi za gazeti hili wakati wakihadithia madhila anayokumbana nayo. Hali hiyo imetokea…

Uwekezaji: Fursa ya kuichangamkia – (2)

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita tulitazama namna ambavyo kampuni ya uwekezaji wa pamoja inayomilikiwa na serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango inavyofanya tathmini na utafiti wa kina kabla ya kuwekeza fedha zilizokusanywa. Endelea… Tofauti ni nyingi,…

Binti Arusha aweka rekodi

ARUSHA Na Hyasinti Mchau Binti wa Arusha, Rawan Dakik (20), ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza mwanamke kupanda Mlima Everest. Mlima huo uliopo nchini Nepal, barani Asia, ndio mrefu kuliko yote duniani, kilele chake kikiwa mita 8,849. Rawan, amerejea…

 Kante kioo cha Mzamiru 

Na Mwandishi Wetu  Umewahi kutulia na kumtazama kwa jicho la tatu kiungo wa Klabu ya Simba ya Dar es Salaam na timu ya soka ya taifa, Taifa Stars, Mzamiru Yassin?  Kwa upande mwingine, unamfuatilia kwa umakini kiungo wa Klabu ya…