JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

‘Mzimu’ wa Nditiye waibuka

DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Miezi michache baada ya kifo cha Mbunge wa Muhambwe (CCM), Mhandisi Atashasta Nditiye, mapendekezo yake ya namna ya kuongeza mapato ya serikali yamefanyiwa kazi. Mhandisi Nditiye, aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano,…

Uislamu unahimiza ‘Wasatwiyya’ – (1)

Makala yetu leo inatudai fasili ya neno ‘Wasatwiyya’ ambalo ni sehemu ya anuani yake. ‘Wasatwiyya’ ni neno la Kiarabu linalotokana na maneno ‘Wastwu’ na ‘Wasatwu’. Neno ‘Wastwu’lina maana ya kati na kati na neno ‘Wasatwu’ lina maana ya ubora. Kiujumla, neno ‘Wasatwiyya’ linapata…

WADUNGUAJI HATARI KUMI Thomas Plunkett: Alimuua Jenerali wa Kifaransa

Kuanzia leo safu hii itakuletea orodha ya watu kumi wanaotajwa kuwa ni wadunguaji hatari duniani. Udunguaji ni taaluma maalumu inayotumiwa na aghalabu askari, kulenga shahaba na kuwapiga risasi watu au vitu vilivyo katika umbali ambao kwa kawaida ni vigumu kulenga…

Askofu atimuliwa na sadaka yake

MBINGA Na Mwandishi Wetu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kusini (DKU), Dk. George Fihavango, pamoja na ujumbe wake wamefukuzwa na kukataliwa kuingia nyumbani kwa mmoja wa waumini wa kanisa hilo, Leonard Myalle; JAMHURI limeshuhudia….

Anaswa kwa wizi wa vitendanishi

TABORA Na Benny Kingson Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Magharibi imemkamata mtumishi wa Kituo cha Afya wilayani Kaliua, Maila Mdemi, kwa tuhuma ya wizi wa vitendanishi. Maila ni mmiliki wa Duka la Dawa la Nansimo ambalo…

Neno ‘kustaafu’ nalo ni tatizo!

Joe Beda Rupia Kustaafu ni kama kifo. Ndiyo. Ukianza kazi siku ya kwanza tu, unaanza safari ya kustaafu. Hakika utastaafu na neno hili linaweza kuwa chanzo cha tatizo. Sawa. Kwa wiki mbili zilizopita nimekuwa nikiandika tanzia; kwanza ya Jenerali Tumainiel…