Category: Kurasa za Ndani
Uhuru Kenyatta ajipanga nyuma ya Raila
NAIROBI, KENYA Joto la kisiasa nchini Kenya linazidi kupanda kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Katika hatua iliyoshitua siasa za nchi hiyo, wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alitangaza hadharani kuwa anaunga mkono upande wa upinzani chini ya kinara wao Raila…
Taliban waikamata Afghan taratibu
KABUL, AFGHANISTAN Kitendo cha Marekani kuondoa majeshi yake nchini Afghanistan kumewaachia uhuru wanamgambo wa kundi la kigaidi la Taliban ambao wameanza kuiteka miji muhimu nchini humo. Taarifa kutoka Afghanistan zinaeleza kuwa katika kipindi cha mwezi mmoja tu wanamgambo hao tayari…
Uamsho na majeraha ya sheria ya ugaidi
ZANZIBAR Na Masoud Msellem Karibu miezi miwili imepita sasa tangu kuachiwa huru kwa waliokuwa mahabusu; masheikh wa Jumuiya ya Uamsho Tanzania. Hawa waliswekwa kizuizini kwa zaidi ya miaka saba wakituhumiwa kutenda vitendo vya kigaidi kati ya Januari 2013 na Juni…
Hata kama hauna cheti cha ndoa unaweza kufumania
Na BashirYakub Kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, kwamba mtu asiyekuwa na cheti cha ndoa hawezi kufumania, si sahihi. Usahihi ni kwamba mtu yeyote mwenye ndoa halali anaweza kufumania! Na hiyo inayoitwa ndoa halali…
Yah: Wazazi wahuni tukizeeka itakuwaje?
Nimepata barua na arafa nyingi kutoka kwa wasomaji wa uga huu kuhusu madhara ya kufuga uhuni wa ujanani mpaka kuutumia uzeeni. Kimsingi si kweli kwamba nilikuwa ninataka watu ambao ni vijana wa leo waje wautumie ujana wao uzeeni, hapana, bali…
Ndimi mbili ni hatari
Binadamu ni kiumbe mwenye maumbile na sifa tofauti na wanyama wengine. Ana hulka inayomwongoza kujifunza kutoka kwa jamaa yake au jamii yake. Ana dhamiri inayomwezesha kutofautisha kati ya mambo yanayostahili kutendwa au kutotendwa katika jamii anamoishi. Aidha, binadamu ana nafsi,…