Category: Kurasa za Ndani
Ziara ya Rais nchini Marekani, matunda yake
DAR ES SALAAM Na Abdul Dendego Ni kawaida kwa viongozi wakuu wa kitaifa kufanya ziara za kila mwaka na kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA). Septemba 18, 2021, Rais Samia Suluhu Hassan, ametekeleza suala hilo…
Corona yaua 700 nchini
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Serikali imeanza kutoa takwimu za mwenendo wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona unaofahamika kwa jina la UVIKO-19, zikionyesha kuwa watu 719 wamekwisha kufariki dunia kutokana na ugonjwa huo…
Sababu Happy, Beka kutengana zaelezwa
DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Wimbo ‘Nimpende’ wa msanii Ibra unatajwa kuwa sababu ya kutengana kwa wapenzi wawili, Happy Reuter na Beka Flavour. Akizungumza na JAMHURI jijini Dar es Salaam, msanii wa filamu na michezo ya kuigiza, Happy, anasema…
‘Hii ni awamu ya matendo makali’
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan, ameendelea kufanya mabadiliko ya uongozi katika ngazi mbalimbali, lengo likiwa ni kuleta tija katika harakati za kuwahudumia Watanzania kuleta maendeleo na ustawi wa jamii. Tangu…
Idadi ya viboko yazua balaa
KATAVI Na Walter Mguluchuma Kila msiba una mwenyewe. Msemo wa wahenga unaolenga kuweka msisitizo katika umiliki wa suala lolote lile; liwe baya au zuri. Kupuuza msemo huu na mingine kadhaa iliyobeba ujumbe mzito ni kujitakia balaa na aghalabu, ni kujicheleweshea…
Benki zaagizwa kuboresha huduma kwa akina mama
DODOMA Na Costantine Muganyizi Serikali imezipongeza benki zenye utaratibu maalumu wa kuwahudumia wanawake nchini ikisema kufanya hivyo si tu kunawapa ahueni ya maisha akina mama nchini, bali pia una tija na mchango mkubwa katika ujenzi wa taifa. Pia utaratibu huo…