Category: Kurasa za Ndani
Lusinde Ajivunia Mtoto ‘Kipanga’
Kuna usemi usemao unapopima maendeleo ya mtu usiangalie alipo, angalia mahali alipotokea. Usemi huo ndiyo unayagusa maisha ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), hususani katika muktadha wa elimu. Lusinde amekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtera, Mkoani Dodoma katika vipindi…
2018 UTUMIKE KUJADILI MASUALA
LEO ni siku ya nne ya mwaka mpya wa 2018. Ni wakati wa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kujalia afya, uhai, nguvu, akili na ubunifu, miongoni mwa vingine vinavyochangia kuharakisha maendeleo na ustawi wa watu. Watanzania wameungana na watu wa mataifa…
Kimara-Bonyokwa Inapotelekezwa!
Nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya, wasomaji wa JAMHURI. Ni jambo jema kusema, “inatupasa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuuvuka mwaka 2017 salama.” Pamoja na salaam hizo, mwaka mpya unaibua matumaini mapya, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau….
SIASA INAPOKUWA CHANGAMOTO KWA VIONGOZI WA DINI
Kuanzia wiki iliyopita, Taifa limeghubikwa na hoja tofauti zinazolenga kuunga mkono ama kukosoa hatua ya viongozi wa dini kuzungumzia masuala ya siasa. Hali hiyo imechochewa zaidi baada ya Askofu Zakary Kakobe wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, kukosoa mwenendo…
GWIJI WA SOKA BARANI AFRIKA NA DUNIANI, AMETANGAZWA KUWA RAIS
Gwiji wa soka barani Afrika na duniani, ametangazwa kuwa Rais wa Liberia na kuchukua mikoba ya Rais wa kwanza mwanamke barani Afrika Ellen Johnson Sirleaf aliyemaliza muda wake. Ushindi wa Weah umetokea wakati kumbukumbu zikionesha kuwa mwaka 2005, aliwania kiti…
Mbowe: CCM wamevuruga Uchaguzi
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Uchaguzi Mdogo wa Madiwani 43 uliofanyika Jumapili umevurugwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimkakati, hivyo baadhi ya maeneo wamemua kujitoa ikiwamo Mkoa wa Manyara. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (pichani) ameliambia JAMHURI kuwa…