Category: Kurasa za Ndani
KWAHERI MWAKA 2017 KARIBU MWAKA 2018 – 2
Na Angalieni Mpendu Amani ni neno fupi na jepesi kutamkwa na mtu yeyote – awe mstaarabu au mshenzi. Maana ya neno hili ni ndefu kiwango cha upeo wa macho ya mtu kuona na kutafakari. Na nzito mithili ya nanga au…
MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU
Padre Dk. Faustin Kamugisha Mafanikio yoyote yanahitaji watu. Yanahitaji rasilimali watu. Ndege kiota, buibui, utando, binadamu, mahusiano. Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alipotaja mambo muhimu ili tuendelee, alianza kutaja watu. Ili kutimiza ndoto ya mafanikio unahitaji watu. Unahitaji watu…
NDUGU RAIS, TUNAICHEKELEA HALI YA NCHI ILIVYO KAMA MAZUZU
Ndugu Rais, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alikuwa muadilifu wa hali ya juu, mwenye hofu ya Mungu na tena kionambali. Wanasema bahati haiji mara mbili, hivyo tukubali tumepoteza kito cha thamani kubwa sasa ndiyo fahamu zinatujia! Tumekuwa ‘yamleka…
MAENDELEO NI KAZI SEHEMU YA SITA
Nimekwenda katika kijiji kimoja Iringa. Nadhani safari hiyo tulikuwa na Mheshimiwa Ng’wanamila – hii anayoimba anasifu mambo aliyojifunza Njombe na Iringa. Tumekwenda katika Kijiji kimoja cha Iringa- ni kijiji cha Waziri wa Kilimo, Joseph Mungai. Akanipeleka Joseph pale au tuseme,…
NUKUU SEHEMU YA 329
Nyerere – Siasa za ndani “…Mtu yeyote anayetuvurugia umoja wetu si mwenzetu. Hata angevaa ngozi ya kondoo huyu ni mbwa mwitu hatufai hata kidogo.” Nukuu hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ilichukuliwa katika ukurasa wa 111 katika kitabu cha Nukuu…
ELIMU YA URAIA INAPOKUWA MZIGO KWA WANANCHI
Na Prudence Karugendo Ni jambo la kushangaza kwamba Tanganyika changa, kabla haijaungana na Zanzibar kuwa Tanzania, wananchi walikuwa waelewa wa elimu ya uraia. Na kama alivyokuwa akisema mara kwa mara Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ni kwamba jambo hilo…