Category: Kurasa za Ndani
Maisha ya wananchi wa migodini yanafanane na uwepo wa rasilimali kwenye maeneo yao
Na Albano Midelo Uamuzi ya serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dk.John Magufuli, kuzuia uagizaji wa makaa ya mawe toka nje, badala yake watumiaji wote kutumia makaa ya mawe toka mgodi wa Ngaka Wilaya ya Mbinga Mkoa wa…
Mbeya walalamika kuporwa ardhi
Na Thompson Mpanji, Mbeya BAADHI ya wananchi wa Mtaa wa Gombe, Kata ya Itezi wameelezea kutoridhishwa na uamuzi uliotolewa Januari 15, 2018 katika kesi Na. 204 ya Mwaka 2016 dhidi ya mwekezaji (jina la Kampuni limehifadhiwa) inayohusu mgogoro wa ardhi iliyotolewa na…
Uvunjaji Chako ni Chako wageuka kitanzi DODOMA
EDITHA MAJURA Imebuka sintofahamu kubwa kutokana na uvunjaji wa jengo la Chako ni Chako mjini Dodoma, baada ya kuwapo harufu ya eneo hilo kuviziwa na “wakubwa”, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma imevunja jengo lililokuwa maarufu kwa jina…
Mafanikio yoyote yana sababu (11)
Na Padre Dk. Faustin Kamugisha Shukrani ni sababu ya mafanikio. “Kama unataka kugeuza maisha yako, jaribu kushukuru. Maisha yako yatabadilika kwa kiasi kikubwa sana,” alisema Gerald Good. Ingawa tuna mioyo midogo, lakini inaweza kubeba jambo kubwa nalo ni shukrani. Hesabu mafanikio…
Tusipuuze tamko la EU
Wiki iliyopita Umoja wa Ulaya umetoa tamko lenye kulitahadharisha taifa letu kuepuka matukio yasiyo na siha njema kwa afya ya taifa. EU wamesema wanafuatia ongezeko la matukio ya kisiasa yenye viashiria vya ukatili na vitisho Tanzania. EU kwa ushirikiano na…
Kubadili jina la kampuni
NA BASHIR YAKUB Jina la kampuni linajulikana. Ni lile jina ambalo kampuni yako inatumia kama utambulisho wake. K & Company Ltd, Sote Company Ltd n.k. Jina hili laweza kubadilishwa wakati wowote baada ya kusajili kampuni. Sheria imeruhusu jambo hili na…