JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Fomu muhimu unapotoa gari bandarini

Na Mwandishi Maalum Katika Makala ya “Njia rahisi ya kutoa gari bandarini” ambayo iliwahi kuchapishwa na gazeti hili, tulielezea hatua mbalimbali ambazo wakala wa forodha anatakiwa kuzifuata ili aweze kutoa gari la mteja wake kutoka bandarini. Lengo la makala hii…

Dodoma yakabiliwa na upungufu wa nyuma

NA EDITHA MAJURA Dodoma Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kuandikwa, amesema wenye uwezo wa kujenga nyumba za kupangisha, kufanya hivyo mkoani Dodoma ili kusaidiana na Serikali kuwapatia  makazi bora watumishi wanaohamia mjini humo. Kuandikwa amesema licha ya…

Mafanikio yoyote yana sababu (12)

Na Padre Dk. Faustin Kamugisha Kujali ubora (excellence) ni sababu ya mafanikio. Kutia fora ni sababu ya mafanikio. Ni kufanya jambo liwe bora zaidi. “Hakuna aliyewahi kujutia kwa kutoa kitu kilicho bora zaidi,” alisema Sir George Stanley Halas (1895 –…

Mfumo wetu wa elimu haufai

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa takwimu tunazopawa kuzitumia kutafakari hatima yetu kama Taifa. Sasa inakadililiwa kuwa idadi ya Watanzania ni milioni 54.2. Mwaka 2021 idadi hiyo itapaa hadi kufikia watu milioni 59. Hili ni ongezeko kubwa. Lakini imebainishwa…

Miaka 61 Uhuru wa Ghana: Tunajifunza?

Hotuba ya rais wa kwanza wa Ghana, Kwame Nkrumah siku ya uhuru wa nchi yake Machi 6, 1957 ilikuwa na ujumbe mmoja mzito: Uhuru wa Ghana hautakuwa na maana yoyote iwapo nchi nyingine za Afrika zitabaki chini ya utawala wa…

Siasa zimetosha, tuingie viwandani

Na Deodatus Balile   Miaka ya 1950 wakati Tanganyika inapigania Uhuru lengo kuu lilikuwa ni kukomboa watu wetu kutokana na unyanyasaji wa hali ya juu waliokuwa wanafanyiwa na Wakoloni. Hali ilikuwa hivyo hivyo kwa upande wa Zanzibar dhidi ya Waarabu….