Category: Kurasa za Ndani
Bandari ya Dar kuhudumia kontena milioni 16
Na Michael Sarungi Ukarabati unaofanyika katika Bandari ya Dar es Salaam, umewezesha ongezeko la kuhudumia shehena za mizigo kutoka tani milioni 10 kufikia tani milioni 16 kwa mwaka. Kiwango hicho kinatarajiwa kuongezeka kufikia tani milioni 25 mwaka 2030, ikichochewa na…
Dekula Kahanga ‘Vumbi’: Mcongo anayemiliki bendi yake Sweden
Na Moshy Kiyungi Dekula Kahanga ni mwanamuziki aliyetokea nchini na kujikita katika jiji la Stockholm nchini Sweden. Ameweza kutafuta mafanikio hadi kuunda bendi yake anayojulikana kama Dekula band. Kabla ya kwenda nchini humo, Kahanga alikuwa mpigaji wa gitaa la solo…
Mipaka ya Tanzania, Kenya ‘kutafuna’ Sh bilioni nne
Na Charles Ndagulla, Moshi Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, amesema Serikali imepata Sh bilioni nne zitakazotumika kurekebisha mipaka iliyopo kwa nchi za Tanzania na Kenya inayoharibika na mingine kuwa na umbali mrefu. Mabula ameyasema…
Dawa za nguvu za kiume bila ushauri wa daktari ni hatari
“Samahani daktari, asubuhi ya siku tatu zilizopita kaka yangu alikutwa amekufa chumbani kwenye nyumba ya wageni alipokwenda kupumzika na mpenzi wake…” “Lakini baada ya kumhoji huyo mpenzi wake, alisema wakati wameingia chumbani alikunywa vidonge kadhaa ambavyo baadaye, wataalamu waligundua vilikuwa…
Urusi yalaumiwa
Marekani imeishutumu Urusi kwa kukiuka hadharani mikataba iliyoafikiwa katika enzi za Vita Baridi, kwa kuunda kile Rais wa Urusi, Vladimir Putin, alichokitaja kuwa kizazi kipya cha silaha madhubuti. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeghadhabishwa na tamko la Putin…
Wahamiaji waandamana Israel
Mamia ya wahamiaji wa Kiafrika waishio nchini Israel wameandamana huku wakiendelea na mgomo wa kutokula wakipinga sera mpya ya Israel yenye utata ya kutaka ama kuwafunga na kisha kuwarejesha makwao. Wahamiaji hao walitembea umbali mfupi kutoka kituo cha wazi cha…