JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Polisi yatamba kuwadhibiti ‘Wakorea Weusi’ Mbeya

Na Thompson Mpanji, Mbeya Polisi mkoani Mbeya imetangaza kukidhibiti kikundi cha uhalifu cha vijana wanaojitambulisha kama ‘Wakorea Weusi’, wakijihusisha na kujeruhi watu na uporaji mali za watu. Kikundi hicho ni miongoni mwa makundi ya kihalifu yaliyoibuka hivi karibuni mjini hapa,…

Urusi yaionya Uingereza

Urusi imeionya Uingereza kutokana na kitendo chake cha kuwafukuza wanadiplomasia wake 23, baada ya kuituhumu nchi hiyo kuhusika na shambulizi la sumu dhidi ya jasusi wa zamani wa Urusi aliyekuwa akiishi uhamishoni Uingereza. Kufukuzwa kwa raia hao wa Urusi, kulitokana…

‘Niliondolewa kijeshi’, Mugabe

Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amesema tukio la kuondolewa kwake madarakani kwa kutumia nguvu za kijeshi, haina tofauti na mapinduzi ya kijeshi yanayoweza kutokea kokote kule duniani. Akizungumza na Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) kwa mara…

Vijue viwanja vyenye thamani Afrika

Tanzania imeendelea kujiongezea idadi ya vivutio vya kitalii baada ya Uwanja wa Taifa kuingia katika kundi la viwanja 10 bora barani Afrika, vilivyojengwa kwa gharama kubwa na vyenye ahadhi. 10- Uwanja wa Taifa Dar es Salaam: Uwanja ulijengwa kwa dola…

Tutilie maanani maandalizi Madola

NA MICHAEL SARUNGI Uwezekano wa kupata medali katika mashindano yajayo ya Jumuiya ya Madola yanayotarajiwa kuanza Aprili 4 hadi 15 mwaka huu katika mji wa Gold Coast nchini Australia, utakuwa mkubwa endapo kila mmoja atatekeleza jukumu lake ipasavyo. Wakizungumza na…

Matatizo ya kiafya wakati wa ujauzito-2

Ujauzito unachangia mabadiliko mbalimbali ya mwili tangu mwezi wa kwanza hadi mwezi wa tisa, mwanamke anapojifungua. Baadhi ya matatizo hayo yamekuwa ni ya kawaida, lakini hayatakiwi kufumbiwa macho, hivyo ni vyema kwa mjamzito kuwa karibu na upatikanaji wa  huduma za…