JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

TPA yaadhimisha miaka 13 kwa mafanikio makubwa

Na Mwandishi Maalum Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (Tanzania Ports Authority – TPA) inaadhimisha miaka 13 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2005. TPA ilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na. 17 ya mwaka 2004 kwa kurithi kazi za iliyokuwa…

Paroko ‘kufungwa’ kwa kung’oa mawe

Na MWANDISHI WETU Paroko wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Kristu Mfalme- Tabata, Padre Peter Shayo na mfuasi wake Denis Emidi, wapo hatarini kufungwa miaka miwili jela kwa kosa la kung’oa mawe ya upimaji uliofanywa na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala,…

Bomu la watu laja Afrika

Na Deodatus Balile Mpendwa msomaji salaam. Wiki iliyopita sikuwa katika safu hii. Nilisafiri kwenda Kisarawe kidogo kwa ajili ya kupeleka taarifa za kilimo cha muhogo. Niliitwa na viongozi wa wananchi wa Kijiji cha Gwata, wilayani Kisarawe waliotaka kufahamu taratibu na…

Waethiopia 85 watelekezwa Goba

Wahamiaji haramu 85 raia wa Ethiopia, wamekamatwa katika eneo la Goba jijini Dar es Salaam baada ya kutelekezwa, anaripoti Mwandishi Wetu. Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dk. Anna Makakala, amethibitishia JAMHURI kukamatwa kwa watu hao. Amesema Uhamiaji kwa kushirikiana na Jeshi…

Wanaoiba wabanwe

Wiki iliyopita taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imewasilishwa bungeni. Taarifa hii inaonyesha kukua kwa deni la taifa la kuzidi trilioni 50. Imeonyesha kuwa wizara kadhaa zimekuwa na upotevu wa fedha za umma. Leo pia…

Nguvu ya msamaha katika maisha

“Kutokusamehe ni kama kunywa dawa ya panya na kungoja ili panya afe.”- Anne Lamott. Alikuwapo msanii mmoja jina lake aliitwa Pablo Picasso 1881-1973, raia wa Hispania. Msanii huyu alikuwa anataka kuchora kitu kizuri duniani, msanii huyu alimwendea Padre mmoja na…