JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Sokous Stars inavyochachafya

NA MOSHY KIYUNGI Tabora Kundi la wanamuziki wa Soukous Stars limekuwa likifanya vyema pindi wanapopata mchongo popote pale Duniani. Hawa ni wanamuzikia raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, huishi katika nchi tofauti duniani, kila mmoja huko aliko anayo shughuli…

Bandari ya Tanga fursa muhimu kwa uchumi wa Tanzania

Katika toleo la wiki iliyopita tuliwaletea makala iliyohusu bandari ya Mtwara kwa jinsi ilivyobeba fursa ya viwanda kwa ukanda wa kusini mwa Tanzania na taifa kwa jumla. Pia bandari ya Mtwara inatarajiwa kuwa tegemeo kwa nchi jirani hasa baada ya…

Timu za vijana zaibeba Afrika

NA MICHAEL SARUNGI Kufanya vyema kwa timu za taifa za vijana chini ya miaka 20 Ngorongoro Heroes, na ile ya chini ya miaka 17 Serengeti Boys katika michezo yao ni mwendelezo wa matokeo mazuri kwa timu za taifa za vijana…

Hatimae historia yaandikwa

Kim Jong-un amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka Korea kaskazini kuingi Korea kusini tangu kumalizika kwa vita vya Korea mwaka 1953 na kuandika historia mpya baina ya mataifa hayo mawili. Kim katika mkutano huo aliandamana na maafisa tisa , ikiwemo dadake…

Bomu la watu laja Afrika – 3

Na Deodatus Balile Kwa wiki ya tatu sasa nafanya mapitio ya kitabu kiitwacho “Making Africa Work”. Tafsiri isiyo rasmi jina la kitabu hiki linamanisha “Mbinu za Afrika kujikwamua kiuchumi.” Kitabu hiki kimeandikwa na Greg Mills, Olusegun Obasanjo (Rais mstaafu wa…

Siku yakimfika DPP hatafuta kesi kirahisi

Jalada la kesi ya mauji ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini, limefungwa. Uamuzi huu umetolewa na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Biswalo Mganga. Akwilina aliuawa kwa risasi Februari 16, mwaka huu wakati polisi walipotumia nguvu kuyadhibiti…