JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kazi/Ajira

Wanawake Pwani waaswa kuvunja ukimya na kupinga vitendo vya ukatili

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha WANAWAKE mkoani Pwani wameaswa kuvunja ukimya na kuungana kupinga vitendo vya ukatili kwa watoto na kuwaasa kuwakemea watoto wao kujiepusha kwenda vibanda umiza ambavyo vingine huwa vikionyesha video zisizo na maadili. Akizungumza katika hafla ya Generation Queen’s…

Mradi wa maji wa bil.1.6/- kumaliza changamoto ya maji Ruaha

Na Mwandishi Wetu,Ruaha HIFADHI ya Taifa ya Ruaha imesema kwa sasa kuna mradi mkubwa wa maji ambao unaendelea katika eneo la Malumbe Kijiji cha Tungamalenga kwa lengo la kuhakikisha maji hayo yanafika kwenye eneo la ndani ya hifadhi hiyo, ili…

RC Ruvuma awapongeza TARURA kwa ufanisi wa kazi

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Rabani Thomas amewataka Makandarasi wazawa kuonyesha uzalendo wa ufanisi wa kazi pindi wanapopewa kazi za ujenzi wa miradi mbalimbali ikiwemo za barabara ili waendelee kuaminiwa kupewa kazi zingine. Wito huo ameutoa…

Likuyuseka Namtumbo wanufaika na elimu ya usalama barabarani

Na Julius Konala,JamhuriMedia,Namtumbo WANANCHI na wanafunzi wa kijiji cha Mtonya kilichopo katika Kata ya Likuyu Seka wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma, wamenufaika na mafunzo ya elimu ya usalama barabarani kupitia ufadhili wa kampuni ya Mantra Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi la…

MAIPAC,CANADA kusaidia jamii za pembezoni,wanahabari

Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Arusha Taasisi ya Wanahabari wa Kusaidia Jamii za Pembezoni (MAIPAC) inatarajiwa kuwa na mashirikiano na taasisi zisizo za kiserikali za nchini CANADA ili kuwajengea uwezo wanahabari na kusaidia jamii ya Pembezoni. Mkurugenzi wa shirika la MAIPAC, Mussa Juma ametoa…