Category: Kazi/Ajira
Benki ya NMB yaweka viwango vipya vya ubora wa ajira na ustawi wa wafayakazi nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika mazingira ya sasa hivi ya ajira yenye ushindani mkubwa wa kuvutia na kuhifadhi vipaji bora, Benki ya NMB imeendelea kuwa mwajiri kinara nchini na chaguo pendwa la wafanyakazi wa kada zote. Kupitia…
Mvutano Kenya, Sudan kuendelea kutokota, baada ya wanamgambo RSF kutangaza kuwepo Nairobi
Mvutano kati ya Kenya na Sudan unaendelea kuwa mgumu, hasa baada ya wanamgambo wa RSF (Rapid Support Forces) kudai kuwa wanahudhuria mjini Nairobi. Katika hali hii, serikali ya kijeshi ya Sudan imechukua hatua ya kumtangaza balozi wake kutoka Nairobi, kutokana…
Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ajiuzulu
Kufuatia shinikizo kubwa kutoka kwa chama chake, Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau ametangaza kujiuzulu na kumaliza kipindi chake cha miaka tisa ya uongozi. Trudeau amesema atakaa madarakani hadi Chama chake cha Liberal kiweze kuchagua kiongozi mpya, na bunge litaahirishwa…
Ukraine yakiri kumuua Jenerali wa kikosi cha nyuklia wa Urusi
Vyanzo vya BBC katika Idara za Usalama za Ukraine vinadai kuwa Ukraine ndio imehusika na operesheni ya kumuua Igor Kirillov mjini Moscow. Kulingana na chanzo hicho, pikipiki iliyokuwa na vilipuzi ililipuliwa wakati Kirillov na msaidizi wake wakikaribia jengo moja huko…
Ubalozi wa Iran mjini Damascus washambuliwa – ripoti
Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa ubalozi wa Iran mjini Damascus umeshambuliwa. Video iliyochapishwa na Shirika la Habari la Kiarabu la Al Arabiya inaonesha uharibifu wa sehemu ya nje ya jengo hilo, ikiwa ni pamoja na madirisha yaliyovunjika, na…
Serikali ya Ufaransa yaporomoka baada ya kura ya kutokuwa na imani
Serikali ya Ufaransa imeporomoka baada ya Waziri Mkuu Michel Barnier kuenguliwa katika kura ya kutokuwa na imani naye. Wabunge walipiga kura kwa wingi kumtaka aondoke, miezi mitatu tu baada ya kuteuliwa na Rais Emmanuel Macron. Viongozi wa upinzani walileta hoja…