Category: Kimataifa
Seneti yamaliza mahojiano, mteule wa Trump atabiriwa kuthibitishwa
Brett Kavanaugh, mteule wa Rais Donald Trump katika nafasi ya Mahakama ya Juu Marekani, Ijumaa alionekana kuwa anaelekea atapitishwa na Baraza la Seneti baada ya siku nne za mahojiano ambapo alifanikwa kujiepusha na vizingiti vikubwa pamoja na Wademokrati kujaribu kwa…
Baraza la Biashara Kenya laeleza madhara ya ongezeko la kodi kwenye mafuta
Kasi ya ukuaji wa uchumi wa Kenya mwaka huu huenda ikapata athari mwaka 2018 kwa kiasi kikubwa kutokana na asilimia 16 ya kodi la ongezeko la thamani (VAT) kwenye mafuta, baraza la biashara la nchi hiyo limesema Ijumaa, wakitaja bei…
Vyombo vya usalama vyawaonya wananchi wa Uganda ughaibuni
Vyombo vya usalama nchini Uganda vimewaonya wananchi wa Uganda walioko nje ya nchi ambao wanatoa matamko ya kuvunja amani, utulivu na haki binafsi za mtu yoyote hususan viongozi, watashughulikiwa ipasavyo watakapo rejea nchini. Onyo hilo limetolewa kufuatia kukamatwa kwa mtoto…
Obama Amshutuma Rais Trump
Aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama amemshutumu mrithi wake Donald Trump na mambo ya ‘kipuuzi yanayotoka’ katika ikulu ya Whitehouse. ”Hii sio kawaida huu ni wakati usio wa kawaida na ni wakati hatari”, Obama aliwaambia wanafunzi katika chuo kikuu cha…
Wanajeshi wa Sudan Kusini wafungwa kwa ubakaji na mauaji
Mahakama ya kijeshi imewahukumu wanajeshi 10 vifungo vya kati ya miaka saba na maisha kutokana na ghasia ambapo mwandishi wa habari aliuawa na wafanyakazi wa kutoa huduma za kibinadamu kubakwa. Mahakama imeiamrisha serikali ya Sudan Kusini kumlipa kila muathiriwa wa…
UN yabisha hodi Uganda
Umoja wa Mataifa (UN) umezitaka mamlaka za kisheria nchini Uganda kuitisha uchunguzi huru dhidi ya machafuko yaliyotokea nchini humo na kusababisha kukamatwa na kuteswa kwa wabunge, akiwemo nyota wa zamani wa muziki, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine. Mkuu wa…