JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Kimbunga Michael kuyakumba majimbo matatu Marekani

Takriban watu nusu milioni wanatakiwa kuondoka haraka katika makazi yao eneo la kusini mashariki mwa Marekani ili kukupisha kimbunga Michael ambacho kinakaribia kulikumba eneo hilo. Taarifa za watabiri wa hali ya hewa zinasema kimbuka hicho kwa sasa kimekwisha ingia katika…

Rais Korea Kusini afungwa kwa rushwa

Seoul, Korea Kusini Rais mstaafu wa Korea Kusini, Lee Myung-bak, amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela pamoja na faini ya dola za Marekani milioni 11.5 (sawa na zaidi ya Sh bilioni 25) kutokana na kukutwa na hatia ya makosa kadhaa…

Rais Recep Tayyip Erdogan aihoji Saudia kutoweka kwa Mwandishi

Rais wa Uturuk Recep Tayyip Erdogan ameitaka Saudia kutoa ushahidi kuhusiana na mwandishi wa habari aliyepotea kwamba alitoka nje ya majengo ya ubalozi wao mjini Istanbul. Mwandishi huyo raia wa Saudia Jamal Khashoggi kwa mara ya mwisho alionekana katika jengo…

Rais Donald Trump Amwagia Sifa Jaji mkuu mteule

Rais wa Marekani Donald amemuomba radhi kwa niaba ya raia wa Marekani Jaji mkuu mpya Brett Kavanaugh kwa kile alichokiita kwamba ni kampeni chafu za kisiasa zilizolenga kuharibu sifa binafsi ya Brett kutokana na mambo ya uzushi na uongo. Trump…

MWANZA NA MWANDISHI WETU   Wanafunzi 12 wa Sekondari ya Igokelo, Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, wamegundulika kuwa na ujauzito mwaka huu, hivyo kulazimika kuwa kando na masomo yao. Mimba hizo zimewalenga zaidi wanaosoma kidato cha kwanza, cha pili, tatu…

Korea Kaskazini yagoma kuharibu silaha

New York, Marekani Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini, Ri Yong-ho, ameonya kuwa hakuna namna ambayo nchi yake itaharibu zana za nyuklia wakati Marekani bado inaendelea kuiwekea vikwazo. Ri Yong-ho aliuambia mkutano wa Umoja wa Mataifa unaoendelea jijini…