JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Bwawa laua mamia Brazil

Watu 300 wanahofiwa kufariki dunia baada ya bwawa la maji kuvunja kingo zake katika mgodi wa kampuni ya chuma kusini mashariki mwa Brazil. Maji yaliyochanganyika na matope yaliwafunika mamia ya wafanyakazi wa shirika hilo. Shughuli ya kuwatafuta walionusurika inaendelea karibu…

Mzozo wa kisiasa Venezuela wasambaa kimataifa

Baada ya maandamano ya kumshinikiza Rais Nicolas Maduro kung’atuka madarakani kukumbwa na vurugu, kiongozi mashuhuri wa upinzani, Juan Guaido, amejitangaza kuwa rais wa mpito. Guaido amepata uungwaji mkono kutoka mataifa ya Marekani, Canada na majirani wa taifa hilo walio na…

Congo yawapuuza wanaobeza uchaguzi

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekataa katakata wito uliotolewa na Umoja wa Afrika (AU) kucheleweshwa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa urais. AU wanasema kuwa wana wasiwasi mkubwa kuhusu uadilifu wa matokeo ya mapema ambayo yalimpatia ushindi, Felix…

Watu 70 waungua moto

Mexico Bomba la mafuta nchini Mexico limelipuka na kuua watu zaidi ya 70 huku wengine 71 wakijeruhiwa vibaya baada ya watu wasiofahamika kutoboa bomba hilo kwa nia ya kuiba mafuta. Katika mji wa Tlahuelilpan, Jimbo la Hidalgo, mwishoni mwa wiki…

Mwandishi auawa ubalozini

Mwanahabari, Jamal Khashoggi, aliuawa katika vita katika Ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul, runinga ya taifa hilo imesema ikinukuu uchunguzi wa awali. Naibu Ofisa Mkuu wa Idara ya Ujasusi, Ahmad al-Assiri na Mshauri Mkuu wa Mwanamfalme Mohammed Bin Salma Saud…

Canada yarasmisha bangi, waishiwa

Wiki iliyopita imekuwa ya kihistoria nchini Canada, kwani serikali ya nchi hiyo baada ya kufanya utafiti kwa muda mrefu hatimaye imefikia uamuzi wa kuruhusu matumizi binafsi ya bangi kwa watu wake. Maduka yalianza kuuza bangi saa 06:01 usiku wa kuamkia…