Category: Kimataifa
Migahawa ya kimataifa yapenya China kibiashara
Katikati ya mivutano ya kibiashara kati ya China na Marekani, mgahawa wenye mtandao mkubwa nchini Marekani umeanza kujipenyeza China kibiashara. Hali hiyo inajitokeza katika wakati ambao hivi karibuni Marekani na China zimeonyesha kutunishiana misulu baada ya Rais Donald Trump wa…
Waziri Mkuu apigwa yai
Waandamanaji wamempiga kwa yai Waziri Mkuu wa Australia, Scott Morrison. Mkasa huo dhidi ya waziri mkuu ulitokea wakati wa mkutano wa kampeni Jumanne wiki iliyopita, bila kusita, walimtandika yai la kichwa. Vipande vya video vya tukio hilo vilionyeshwa kwenye televisheni…
Marais wataka uuzaji pembe za tembo
Nchi tano za kusini mwa Afrika zenye idadi kubwa ya tembo zimeanza kudai haki ya kuuza pembe za wanyama hao kwa msisitizo kuwa rasilimali hiyo iwekewe utaratibu utakaonufaisha wakazi wa maeneo ya mapori wanamohifadhiwa. Marais kutoka nchi za Botswana, Zimbabwe,…
Nigeria kutoa rais wa UNGA
Baada ya miaka 30 kupita Nigeria inaweza kutoa rais wa Baraza la Umoja wa Mataifa (UNGA). Kwa mara ya mwisho Joseph Nanven Garba ndiye aliyekuwa Rais wa UNGA mwaka 1989 kutoka Nigeria. Profesa Tijjani Muhammad Bande ambaye kwa sasa ni…
Tukio la Papa Francis Vatican latikisa dunia
Baba Mtakatifu, Papa Francis, katika hali isiyotarajiwa amebusu miguu ya Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, akimsihi pamoja na wenzake kuhakikisha nchi hiyo hairudi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe. Papa Francis amemwomba Rais Kiir na makamu wake wa awali,…
Waziri Mkuu anena
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali imejiandaa kumjibu Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), kwa ushahidi; na sasa inachofanya ni kumsubiri arejee nchini. Amesema serikali inatambua kuwa Lissu anatibiwa, na kwa maana hiyo si jambo la busara kujibizana na…