JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Makamu wa Rais wa Marekani kutembelea Tanzania

…………………………………………………………………………………………. Makamu wa Rais wa Marekani Mheshimiwa Kamala Harris anatarajiwa kutembelea Tanzania kuanzia Machi 29 hadi 31, 2023, kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwenye ziara hiyo ya kwanza nchini Tanzania na…

Spika awasilisha hoja ya dharura kuchagiza kuundwa kwa mfuko wa maafa duniani

Spika wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kundi la Afrika katika Umoja wa Mabunge Duniani (Africa Geopolitical Group in the IPU), Dkt. Tulia Ackson, jana Machi 12, 2023 amehutubia Mkutano wa 146 wa Umoja wa Mabunge Duniani…

Tanzania,Namibia zasaini hati za makubaliano ya ushirikiano

Windhoek, Namibia, 10 Machi 2023 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri Namibia zimesaini Hati za Makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya usalama, mishati na mashauriano ya kisiasa na kidiplomasia. Hati za Makubaliano hayo zimesainiwa katika Mkutano wa Tatu wa…

Askari wa akiba wa Urusi hawana silaha wapigana kwa koleo

Askari wa akiba wa Urusi huenda wanatumia “makoleo” kwa mapigano ya “mkono kwa mkono” nchini Ukraine kutokana na uhaba wa risasi, Wizara ya Ulinzi ya Uingereza inasema. Mwishoni mwa Februari, askari wa akiba walielezea kuwa waliamriwa kushambulia Ukraine “wakiwa na…

Bola Tinubu atangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa Nigeria

Mgombea wa chama tawala Bola Tinubu ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliokumbwa na utata nchini Nigeria. Mwanasiasa huyo mkongwe mwenye umri wa miaka 70 alipata asilimia 36 ya kura, matokeo rasmi yanaonyesha. Mpinzani wake mkuu Atiku Abubakar alipata asilimia…

Urusi yatengwa na Umoja wa Mataifa

Umoja wa Mataifa umeitenga Urusi siku ya Alhamisi, wakati wa kuadhimisha mwaka mmoja tangu Urusi ilipoivamia Ukraine huku ikitoa wito wa kuwepo kwa “amani na haki ya kudumu” na kuitaka tena Urusi kuondoa wanajeshi wake na kuacha mapigano. Siku moja…