Category: Kimataifa
Watu 35 wafariki baada ya kutumbukia kwenye kisima India
Takriban watu 35 wamefariki baada ya kutumbukia kwenye kisima walipokuwa wakisali katika hekalu moja katika jimbo la kati la India la Madhya Pradesh. Wengine 14 wameokolewa na mtu mmoja bado hajapatikana katika ajali hiyo iliyotokea katika mji wa Indore. Polisi…
Tanzania yakabidhi rasmi msaada nchini Malawi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Dkt.Stergomena Tax kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan amekabidhi rasmi msaada wa kibinadamu kwa Serikali ya Malawi kwa ajili ya kuwasaidia wahanga wa kimbunga Freddy…
Trump asema anatarajia kukamatwa siku ya Jumanne
RAIS wa zamani wa Marekani Donald Trump anasema anatarajia kukamatwa Jumanne katika kesi kuhusu madai ya pesa inayosemekana ililipwa kwa nyota wa zamani wa ponografia. Trump ametoa wito kwa wafuasi wake kupinga hatua hiyo katika chapisho kwenye jukwaa la mtandao…
Mtoto wa Museveni atangaza kumngo’a baba yake madarakani
Na Wilson Malima, JAMHURI MEDIA Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Mhoozi Kainerugaba ametangaza nia ya kutaka kumrithi Baba yake kiti cha Urais wa Uganda ambapo amesema atagombea Urais wa nchi hiyo ifikapo mwaka 2026. Mhoozi ambaye ni Jenerali…