JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Mpango:Meza za mazungumzo chombo bora cha kutatua migogoro duniani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amehutubia Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA) unaondelea Jijini New York nchini Marekani. Makamu wa Rais ametoa hotuba hiyo akimwakilisha Rais wa Jamhuri…

Kifo kingine chahusishwa na Ebola Uganda

Wizara ya Afya ya Uganda inasema mtoto wa mwaka mmoja anashukiwa kufariki kutokana na Ebola katika wilaya ya kati ya Mubende siku ya Jumanne. Alikuwa miongoni mwa watu kumi na moja waliowekwa karantini kufuatia kisa kilichothibitishwa cha mwanamume mwenye umri…

UN:Tanzania ya 86 kati ya nchi 163 zenye amani duniani

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, amesema kuwa bado kuna maeneo mengi ulimwenguni yanakabiliwa na kushindwa kwa suala la amani. Ameyasema hayo kupitia ujumbe wake wa siku ya kimataifa ya amani alipokuwa akihutubia umoja huo huko jijini…