JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Senegal kuanza kuzalisha chanjo za corona

DAKAR, SENEGAL Senegal imetangaza kuwa imeanza maandalizi ya kuzalisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa corona. Inaungana na nchi nyingine kadhaa za Afrika ambazo nazo zimetangaza mipango yao ya kuzalisha chanjo dhidi ya ugonjwa huo ambao umeisumbua dunia kwa zaidi ya…

Bei ya mafuta yaanza kupanda tena

LONDON, UINGEREZA Bei ya mafuta katika soko la dunia imeanza kupanda baada ya kuwa chini kwa kipindi kirefu kutokana na madhara ya janga la COVID-19. Bei ya pipa moja la mafuta ilifikia dola 70 jijini New York katikati ya wiki…

Maelfu wakabiliwa na njaa Tigray

ADDIS ABABA, ETHIOPIA “Kuna njaa hivi sasa huko Tigray.” Ni kauli liyotolewa na ofisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa, Mark Lowcock, na kuwashtua watu wengi. Alikuwa akielezea hali ilivyo katika Jimbo la Tigray nchini Ethiopia ambalo kwa…

Walioambukizwa COVID-19 Afrika wakaribia milioni 5

ADDIS ABABA, ETHIOPIA Imethibitishwa kuwa watu 4,867,727 walikuwa wameambukizwa virusi vinavyosababisha ugonjwa wa corona (COVID-19) barani Afrika hadi kufikia katikati ya wiki iliyopita. Taasisi ya kukabiliana na magonjwa barani Afrika iliyo chini ya Umoja wa Afrika (AU), Africa CDC, imesema…

Mfereji wa Suez kupanuliwa

CAIRO, MISRI Mipango imeanza kuupanua Mfereji wa Suez nchini Misri kama njia ya kuhakikisha usalama na ufanisi wa usafirishaji, hasa kwa njia ya meli. Machi mwaka huu biashara duniani iliingia kwenye mtanziko mkubwa baada ya meli moja kubwa ya mizigo…

Biden awasilisha bajeti inayojali watu wa kati

WASHINGTON, MAREKANI Ikulu ya Marekani imependekeza bajeti ya dola trilioni 6 kwa ajili ya mwaka wa fedha 2022. Wakati mapendekezo hayo ya bajeti yakitolewa, Rais Joe Biden amejiandaa kutoa maelezo ya mipango yake ya kifedha katika kipindi cha kati. Atatoa…