Category: Kimataifa
Balozi Polepole akipaisha Kiswahili Cuba
Balozi wa Tanzania Nchini Cuba Humphrey Polepole amesema waasisi wa Mataifa ya Afrika walifanya jukumu lao kwa harakati kubwa za kulikomboa Bara la Afrika na kwamba ni wakati wa kizazi cha sasa kuhakikisha wanaleta ukombozi wa kiuchumi barani na njia…
Rais Ruto atoa onyo kali la maandamano
Rais William Ruto ametoa onyo kali kuhusu maandamano ya Azimio yaliyopangwa kufanyika leo. Akizungumza mjini Ruai Jumanne, Rais alithibitisha kwamba hataruhusu maisha ya Mkenya yeyote kupotea kutokana na maandamano. “Walifanya maandamano, na Wakenya wasita wakapoteza maisha yao. Mnataka maandamano ifanyike,…
Watu 100 wamekufa nchini India kutokana na joto kali
KARIBU watu 100 wamekufa nchini India katika siku za karibuni kutokana na joto kali lililolikumba taifa hilo. Watu hao wamekufa katika majimbo mawili yenye idadi kubwa zaidi ya watu ya Uttah Pradesh lililoko magharibi mwa nchini hiyo na Bihar, lililopo…
Wadau EITI wajadili fursa mbalimbali za madini
SHARE *Dakar, Senegal* Mkutano wa Kimataifa wa Asasi ya Kimataifa ya Uwazi na Uwajibikaji _*(EITI – Extractive Industry Transparency Initiative)*_ uliofanyika Jijini Dakar nchini Senegal kuanzia tarehe 13 -14 Juni 2023 umejadili fursa mbalimbali kwenye Sekta ya Madini ikiwemo namna…
Watu 79 wafariki katika ajali ya boti Ugiriki
Takriban watu 79 wamefariki na wengine zaidi ya 100 kuokolewa baada ya meli yao ya uvuvi kuzama katika pwani ya kusini mwa Ugiriki. Walionusurika na maafisa wa Ugiriki wanasema kuwa mamia zaidi ya wahamiaji walikuwa ndani ya boti hiyo. Serikali…