JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Ubaguzi, unafiki vita ya Urusi Vs Ukraine

Na Nizar K Visram Limekuwa jambo la kawaida kwa vyombo vya habari na serikali zao za Magharibi kuilaani Urusi, wakisema ni uhalifu wa sheria ya kimataifa kwa nchi moja kuivamia nchi nyingine.  Lakini sheria hiyo hutiwa kapuni pale nchi za…

Urusi yageuka tishio kwa mataifa mengine 

Moscow, Russia Na Mwandishi wetu Vita ya maneno inazidi kupamba moto baina ya mataifa tajiri duniani yakigombea mipaka ya taifa la Ukraine. Hali hiyo imezuka baada ya Urusi kuzidisha vikosi vyake vya kijeshi kwenye mipaka ya taifa hilo, jambo ambalo limewaibua…

Umoja wa Ulaya wavurugana

BRUSSELS, UBELGIJI Wanachama wa Jumuiya ya Ulaya wameanza kuvurugana baada ya baadhi yao kukataa kuutambua mkataba unaounda umoja huo kuwa una nguvu kuliko sheria zao za ndani. Poland ndiyo inayoongoza kupinga ukuu wa mkataba wa Jumuiya ya Ulaya dhidi ya…

Bei ya mafuta yapaa

• Ni baada ya OPEC kugoma kuongeza uzalishaji WASHINGTON, MAREKANI Bei ya mafuta katika soko la dunia ilifikia dola 79 kwa pipa wiki iliyopita, kikiwa ni kiwango cha juu tangu mwaka 2014.  Hali hiyo iliyoshitua nchi nyingi duniani ilitokana na…

Mapigano jela yaua watu 100

QUITO  Ecuador Walau watu 116 wamethibitishwa kufariki dunia kutokana na mapigano yaliyozuka ndani ya jela moja nchini Ecuador kati ya mahabusu na wafungwa wa makundi mawili hasimu. Taarifa rasmi zinataja vurugu hizo kuwa ndizo mbaya zaidi kuwahi kutokea ndani ya…

Mvutano mkali waibuka  nyongeza chanjo ya corona

Washington, Marekani Jopo la washauri wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) limekumbana na mvutano mkali wakati wa kupitisha mapendekezo ya kuanza kutolewa kwa nyongeza ya chanjo ya corona (Covid-19) kwa waliochanjwa chanjo ya aina ya Pfizer nchini Marekani….