Category: Kimataifa
Waziri Mkuu wa Uingereza atozwa faini kwa kutokufunga mkanda
Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amepigwa faini kwa kutokufunga mkanda akiwa ndani ya gari lililokuwa katika mwendo. Waziri Mkuu huyo ametozwa faini mara baada ya kujirekodi video akiwa ndani ya gari bila kufunga mkanda na kuituma katika ukurasa wake…
Rais Samia: Sekta ya kilimo kukua kwa asilimia 10 ifikapo 2030
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amesema sekta ya kilimo nchini inatarajiwa kukua kwa asilimia 10 ifikapo mwaka 2030 ukilinganisha na ukuaji wa sasa wa takriban asilimia 3.6. Rais Samia amesema Tanzania imetengeneza fursa za kitaifa kwa ajili…
Rais Samia akizungumza na wawekezaji, wadau wa maendeleo na baadhi ya viongozi wakuu wa Nchi za Afrika nchini Uswizi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA)uliofanyika Davos nchini Uswizi…
Binadamu mkongwe zaidi afariki dunia
Binadamu mzee zaidi aliyekuwa anashikilia rekodi ya Guinness amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 118. Sista André aliyezaliwa Februari 11, 1904 na kupewa jina la Lucile Randon amekutwa amefariki katika makazi yake yaliyoko mjini Taulon Ufaransa, Reuters imeripoti Msemaji…