JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Tetemeko la ardhi Uturuki,vifo vyafikia 4,800

Idadi ya vifo inaongezeka hadi sasa zaidi ya 4,800 vimerekodiwa kutokana na tetemeko lilitokea siky ya Jumatatu. Nchini Uturuki, idadi ya watu ambao wamekufa kwa sababu ya matetemeko haya ya ardhi imeongezeka hadi 3,381, kulingana na mamlaka ya maafa nchini…

Papa Francis akutana na wahanga wa vita vya Kongo

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani,Papa Francis ameelezea masikitiko yake na kuwapa pole wahanga wa ghasia za kikatili katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Masikitiko hayo aliyatoa jana jioni wakati alipokutana na wahanga wa vita na machafuko ya kisiasa kutoka mashariki…

Tanzania, Finland zaendelea kuimarisha ushirikiano

Serikali za Tanzania na Finland zimeahidi kuendelea kuimarisha ushirikiano katika sekta zenye maslahi mapana ya kiuchumi kwa wananchi wa nchi hizi mbili ikiwemo biashara, utalii na uwekezaji. Ahadi hiyo ilitolewa katika mazungumzo baina ya Waziri wa Mambo ya Nje na…

Tanzania,India kufungua fursa mpya za biashara

Tanzania na India zimeonesha dhamira ya kufanya kazi kwa karibu katika kutafuta njia bora za kufungua fursa mpya za biashara na uwekezaji kwa maslahi ya pande zote mbili. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi…