Category: Kimataifa
Watu 5 wafariki ajali ya ndege Costa Rica
Maafisa wa uokoaji waliyapata mabaki ya ndege kwenye eneo la milima lakini ilichukua saa kadhaa kwa timu kufika eneo la ajali. Shirika la Msalaba Mwekundu liliripoti Jumanne aliyenusurika alikuwa amepelekwa hospitali. Shirika la msalaba mwekundu limesema watu watano wamekufa baada…
Kumkamata Netanyau haitoshi lazima apate adhabu ya kifo – Iran
Ayatollah Ali Khamenei, Kiongozi wa Iran katika hotuba yake katika kikao na “Wanajeshi wa nchi nzima” alisema “Waranti ya kukamatwa kwa Netanyahu kwa uhalifu wa kivita haitoshi, ni lazima hukumu yake ya kifo itolewe.” Pia alisema: “Adui hajashinda huko Gaza…
Kesi ya Donald Trump yatupiliwa mbali na jaji wa mahakama
Huku hatua ya mwanasheria Jack Smith ya kufuta mashtaka ya kuingilia uchaguzi wa 2020 dhidi ya Donald Trump, moja ya vitisho vya mwisho vya kisheria vilivyosalia dhidi ya rais mteule imegeuka kuwa majivu na kupeperushwa na upepo. Smith pia anatupilia…
Ndege ya mizigo yaanguka Lithuania, mmoja afariki
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya ndege ya mizigo kuanguka karibu na uwanja wa ndege wa Vilnius nchini Lithuania Ndege hiyo, inayoendeshwa kwa DHL na Shirika la Ndege la Uhispania la Swiftair, ilianguka karibu na nyumba…
Hezbollah yarusha makombora ndani ya Israel baada ya shambulizi la Beirut
Jeshi la Israel linasema takribani roketi 250 zimerushwa na Hezbollah kuvuka mpaka kutoka Lebanon, na kuashiria moja ya mashambulizi makali zaidi ya Israel tangu mapigano yalipozidi mwezi Septemba. Watu kadhaa walijeruhiwa na majengo kuharibiwa kaskazini na kati mwa Israel, baadhi…
Wahouthi waisaidia Urusi kuwapeleka Wayemen kupigana Ukraine
Kutokana na hasara kubwa kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine, Urusi imeimarisha idadi ya vikosi vyake kutumia wanajeshi kiasi 10,000 wa Korea Kaskazini. Urusi inawasajili wanaume kutoka Yemen waende kupigana vita nchini Ukraine kupitia msaada wa waasik wa Houthi nchini Yemen. Hayo…