JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Waliokufa na vimbunga Marekani wafikia 26

Takriban watu 26 wamekufa baada ya mfululizo wa vimbunga kuteketeza miji na majiji ya Kusini na Kati mwa Marekani. Nyumba ziliharibiwa na maelfu kuachwa bila umeme baada ya dhoruba kubwa kusababisha uharibifu katika majimbo kadhaa. Kumekuwa na zaidi ya vimbunga…

Makamu wa Rais Sudan Kusini akataa uteuzi

Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar, ambaye pia ni kiongozi wa chama cha upinzani cha SPLM-IO, amekataa uteuzi wa Jenerali Chol Thon Balok kuwa waziri mpya wa ulinzi. Jenerali huyo anatoka chama cha Rais Salva Kiir na anachukua…

Watu 35 wafariki baada ya kutumbukia kwenye kisima India

Takriban watu 35 wamefariki baada ya kutumbukia kwenye kisima walipokuwa wakisali katika hekalu moja katika jimbo la kati la India la Madhya Pradesh. Wengine 14 wameokolewa na mtu mmoja bado hajapatikana katika ajali hiyo iliyotokea katika mji wa Indore. Polisi…

Tanzania yakabidhi rasmi msaada nchini Malawi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Dkt.Stergomena Tax kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan amekabidhi rasmi msaada wa kibinadamu kwa Serikali ya Malawi kwa ajili ya kuwasaidia wahanga wa kimbunga Freddy…

Trump asema anatarajia kukamatwa siku ya Jumanne

RAIS wa zamani wa Marekani Donald Trump anasema anatarajia kukamatwa Jumanne katika kesi kuhusu madai ya pesa inayosemekana ililipwa kwa nyota wa zamani wa ponografia. Trump ametoa wito kwa wafuasi wake kupinga hatua hiyo katika chapisho kwenye jukwaa la mtandao…