Category: Kimataifa
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, ashindwa rufa yake
Mahakama ya Rufaa nchini Ufaransa, imeshikilia kifungo cha miaka mitatu jela, dhidi ya rais wa zamani Nicolas Sarkozy kwa kosa la ufisadi na kushawishi kupewa taarifa kuhusu uchunguzi dhidi yake. Katika uamuzi wa mahakama hiyo ya rufa jijini Paris, kiongozi…
Kalinaki, Balile wachaguliwa kuongoza wahariri Afrika Mashariki
Jumuiya ya Wahariri Afrika Mashariki imemchagua Daniel Kalinaki wa Jukwaa la Wahariri Uganda kuwa Rais wa Jumuiya ya Wahariri Afrika Mashariki kuanzia Mei 12, 2023, ambapo ataongoza kwa mwaka mmoja. Deodatus Balile, ambaye ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania…
Aua watu 8 kwa risasi Marekani, naye auawa
“Tulianza kukimbia, watoto walikuwa wakikanyagwa”. Anaeleza Maxwell Gum (16),mfanyakazi wa stendi karibu na eneo ambalo mauaji ya risasi ya watu nane katika jiji la Texas Marekani . Yeye na wengine walijihifadhi kwenye chumba cha kuhifadhia vitu. Mauaji haya yametekelezwa na…
Miili 100 waliokufa kwa imani ya kukutana na Yesu kufanyiwa upasuaji
Maafisa nchini Kenya wanasema shughuli ya upasuaji wa zaidi ya miili 100 inayohusishwa na mchungaji mmoja ambaye anadaiwa kuwashauri waumini wake wafunge kula hadi wafe ili wawe wa kwanza kwenda mbinguni, umeanza. Mpasuaji mkuu wa serikali ya Kenya,Johansen Oduor, ndiye…
Waziri Uganda auwa kwa kupigwa risasi na mlinzi wake
Mwanajeshi wa Jeshi la Uganda amempiga risasi na kumuua waziri katika Serikali ya Uganda ambaye alikuwa akimlinda. Kanali mstaafu Charles Okello Engola, ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Kazi, alipigwa risasi nyumbani kwake katika mji mkuu, Kampala, Jumanne asubuhi. Haijajulikana wazi…