JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Wadau EITI wajadili fursa mbalimbali za madini

SHARE  *Dakar, Senegal*  Mkutano wa Kimataifa wa Asasi ya Kimataifa ya Uwazi na Uwajibikaji _*(EITI – Extractive Industry Transparency Initiative)*_ uliofanyika Jijini Dakar nchini Senegal kuanzia tarehe 13 -14 Juni 2023 umejadili fursa mbalimbali kwenye Sekta ya Madini ikiwemo namna…

Watu 79 wafariki katika ajali ya boti Ugiriki

Takriban watu 79 wamefariki na wengine zaidi ya 100 kuokolewa baada ya meli yao ya uvuvi kuzama katika pwani ya kusini mwa Ugiriki. Walionusurika na maafisa wa Ugiriki wanasema kuwa mamia zaidi ya wahamiaji walikuwa ndani ya boti hiyo. Serikali…

Watu 15 wafamilia moja wafariki kwa kunywa uji Namibia

Watu 15 wa familia moja wamefariki nchini Namibia baada ya kunywa uji ambao maafisa wanaamini ulikuwa na sumu. Hili ni miongoni mwa matukio mabaya zaidi nchini humo ya maafa yanayotokana na chakula kibovu. Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa…

Bola Tinubu aapishwa kuwa Rais wa Nigeria

Rais mteule wa Nigeria Bola Tinubu ameapishwa leo kuwa kiongozi wa taifa hilo lenye idadi kubwa zaidi ya watu barani Afrika linalokabiliwa na changamoto nyingi. Anaingia rasmi madarakani huku raia wakiwa na matumaini mapya ya maisha bora na masuala mengine…

Spika Dkt. Tulia atoa wito kwa nchi za SADC kuendeleza ushirikiano

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amezitaka nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zishirikiane kutumia rasilimali zilizopo kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa Jumuiya hiyo. Dkt. Tulia ameyasema hayo wakati…