Category: Kimataifa
Samatta atwaa ubingwa Ligi Kuu Ugiriki
ATHENS, Ugiriki: Nahodha wa @taifastars_ Mbwana Samatta @samagoal77 ametwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Ugiriki Msimu wa 2023/24. Hilo ni taji la kwanza kwa Samatta nchini humo tangu ajiunge na Paok FC mnamo Agosti 2022, baada ya kuondoka Aston Villa…
India kukabiliwa na joto kali kwa wiki tatu
Idara ya Hali ya Hewa nchini India imeonya kuwa nchi hiyo inakabiliwa na wimbi la pili la joto kali katika muda wa wiki tatu, ikiwemo maeneo ambayo mamilioni ya watu wanatazamiwa kupiga kura katika uchaguzi wa wiki sita. Idara ya…
Rais Ruto kuanza ziara ya kihistoria nchini Marekani
Rais William Ruto wa Kenya anaanza ziara ya kihistoria nchini Marekani, ambayo inatarajiwa kuwa mapinduzi kwa Kenya yenye kulenga kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbilo. Ziara hiyo ambayo ni ya kwanza kwa kipindi cha miaka 15, ilifanyika na rais…
Mafuriko mapya yasababisha vifo vya watu 66 Afghanistan
Mafuriko mengine mapya yamewaua watu 66 katika Mkoa wa Faryab kaskazini mwa Afghanistan. Mamia ya watu wamekufa katika mafuriko tofauti mwezi huu ambayo pia yamesomba mashamba . Mafuriko mengine mapya yamewaua watu 66 katika mkoa wa Faryab kaskazini mwa Afghanistan….
Gumzo la nani atachukua nafasi yake Rais Iran
Rais Ebrahim Raisi alikuwa karibu kufikia nafasi ya juu ya madaraka katika Jamhuri ya Kiislamu na alipendekezwa sana kupanda hadi nafasi hiyo. Kufariki ghafla kwa Rais Ebrahim Raisi katika ajali ya helikopta siku ya Jumapili kumezua gumzo la nani hatimaye…
Waziri Makamba awasili nchini China kwa ziara ya kikazi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba amewasili nchini China kuanza ziara ya kikazi. Ziara hii mbali na kudumisha ushirikiano wa kidiplomasia wa kihistoria uliopo baina ya mataifa haya mawili ni muendelezo wa utekelezaji wa…