Category: Kimataifa
Tanzania,Malawi kushirikiana masuala ya ulinzi
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Malawi zimesaini hati mbili za makubaliano ya kushirikiana katika masuala ya ulinzi na usalama wakati wa Mkutano wa Tano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (The 5th Joint-Permanent Commission for…
Ujerumani kuhalalisha bangi kama kiburudisho
Serikali ya Muungano ya Ujerumani imekubaliana juu ya mpango wa kuhalalisha kisheria matumizi ya bangi kama kiburudisho miongoni mwa watu wazima. Mtu ataruhusiwa kumiliki na hadi gramu 30 (1oz) kwa ajili ya matumizi ya kibinafsi. Maduka ya kawaida yaliyopewa leseni…
Tanzania, Malawi wajadili namna ya kuondoa vikwazo vya kibiashara
Mkutano wa Tano (5) wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (The 5th Joint-Permanent Commission For Cooperation – JPCC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Malawi umeanza leo tarehe 26 Oktoba 2022 jijini Dar es…
Majaliwa:Rais Samia amedhamiria kuimarisha utoaji huduma za afya
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa kuwezesha upatikanaji wa wataalam, dawa, vitendanishi na vifaa tiba. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Oktoba 26, 2022 baada ya kushuhudia utiaji saini…