Category: Kimataifa
Waombolezaji wafariki katika msafara wa mazishi wa Makamu wa Rais wa Malawi
Watu wanne, akiwemo mwanamke mjamzito, wamepoteza maisha baada ya gari lililokuwa kwenye msafara uliokuwa umebeba mwili wa marehemu Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Chilima kuwagonga waombolezaji, polisi walisema. Watu wengine kumi na wawili walijeruhiwa katika tukio hilo la Jumapili…
Papa Francis azitaka mamlaka kukomesha mauaji mashariki mwa Congo
Baada ya sala ya Jumapili katika Kanisa Katoliki Jumapili, Papa Francis ametoa wito tena wa ulinzi wa raia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya mashambulizi ambayo yameua mamia katika wiki za hivi karibuni. “Habari za kusikitisha za…
Netanyahu alivunja Baraza lake la Vita
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelivunja Baraza lake la Vita ambalo husimamia operesheni za kijeshi huko Gaza. Mapigano yanaendelea pia kuripotiwa katika ardhi ya Palestina huku idadi ya vifo pia ikiongezeka. Taarifa ya kuvunjwa kwa baraza hilo la vita…
Rais Tinubu wa Nigeria aanguka katika hafla ya kitaifa
Rais, 72, alianguka alipokuwa akipanda ngazi kwenye gari ambalo lilipaswa kumpeleka karibu na Bustani ya Eagle Square katika mji mkuu, Abuja. Ilibidi asaidiwe kusimama. Mmoja wa wasaidizi wake alielezea kama “hatua mbaya” na akasema rais ameweza kuendelea na programu iliyobaki….
Malawi yatangaza siku 21 za maombolezo kifo cha Makamu wa Rais
Malawi imetangaza siku 21 za maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Rais wa nchi hiyo Saulos Chilima na watu wengine nane kilichosababishwa na ajali ya ndege. Siku ya Jumatatu, Chilima na ujumbe wake walikuwa safarini kuelekea kaskazini mwa nchi hiyo…
Breaking News: Makamu wa Rais wa Malawi afariki Dunia
Na Isri Mohamed Mwili wa Makamu wa Rais wa Malawi, Saulos Chilima na watu wengine tisa imepatikana baada ya vikosi vilivyokuwa vikiitafuta ndege iliyowabeba kufanikiwa kupata ndege hiyo huku wakiwa wamefariki. Baada ya kuthibitishwa kwa taarifa hiyo, Rais wa Malawi,…