JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Mtoto atolewa vyuma 52 tumboni,wazazi watahadharishwa

Mama wa mtoto mwenye umri wa miaka mitano ambaye alinusurika kifo baada ya kumeza vyuma 52 kutoka kwenye kifaa cha kuchezea amewatahadharisha wazazi kutambua hatari iliyomkumba mtoto. Daktari alilazimika kupasua tumbo la mtoto Jude sehemu tano ili kuondoa vyuma vilivyokua…

Balozi Sirro awasilisha hati za utambulisho

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe,Simon Sirro amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Mhe. Emmerson Mnangagwa, Ikulu Zimbabwe. Julai 20, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Mkuu wa…

Tanzania, Oman zainisha maeneo ya kushirikiana

Tanzania na Oman zimedhamiria kuchukua jitihada za makusudi kuimarisha ushikiano wa kiuchumi baina ya nchi hizo zenye uhusiano madhubuti wa kihistoria. Hayo yamebainishwa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi hizo, Dkt. Stergomena L. Tax (Mb) na mwenyeji wake,…

Ubora wa bidhaa za wajasiriamali watia fora maonesho ya Juakali

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii,Wazee, Jinsia na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Riziki Pembe Juma ameeleza kuridhishwa na namna Wajasiriamali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wanavyoongeza viwango vya ubora na ubunifu katika huduma na bidhaa…