Category: Kimataifa
Rais Ruto: Ghasia za Jumanne ni matukio ya Uhaini,
Rais wa Kenya William Ruto ameyataja matukio ya Jumanne ambapo waandamanaji wanaopinga nyongeza ya kodi waliingia bungeni na taasisi nyingine za serikali kuwa ni uhaini. Alionya kuwa hatua zitachukuliwa dhidi ya waandamanaji watakaojihusisha na ghasia. Watu sita wamethibitishwa kufariki na…
Muswada wa fedha 2024; Polisi wakabiliana na waandamanaji mjini Nairobi
Makabiliano makali yamezuka katikati ya mji wa Nairobi baada ya polisi kuwatawanya waandamanaji wa kupinga muswada wa fedha wa 2024. Umati wa waandamanaji ulikuwa umekusanyika katika barabara mbalimbali kupinga Muswada wa Fedha wa 2024 wakati makabiliano yalipozuka. Polisi waliwarushia vitoa…
Korea Kaskazini yatuma maputo yenye takataka na nguo kuukuu nchini Korea Kusini
Wizara ya Muungano ya Korea Kusini ilitangaza tarehe 24 kwamba vimelea vinavyotokana na kinyesi cha binadamu na nguo zilizoharibika za Hello Kitty zilipatikana kwenye takataka zilizokutwa kwenye mfuko kwenye puto lililotumwa na Korea Kaskazini kwenda Korea Kusini. Tangu Mei, Korea…
Bunge la Kenya lapitisha marekebisho ya Muswada wa Fedha 2024
Muswada huo wa Sheria ya Fedha wenye utata umepitia Kamati ya Bunge zima , ambapo wabunge walikuwa wakipiga kura ya marekebisho ya muswada huo, sasa unasomwa kwa mara ya tatu. Hii ni baada ya wabunge 195 kupiga kura kupitisha muswada…
Vifo vyafikia 19 shambulio la jimbo la Urusi la Dagestan
Idadi ya vifo vilivyotokana na shambulizi la jana Jumapili katika jimbo la Dagestan kusini mwa Urusi imeongezeka na kufikia 19. Kulingana na Kamati ya uchunguzi mapema leo, washambuliaji watano pia waliuawa kwenye shambulizi hilo. Shirika la habari la AFP limeinukuu…
Idadi ya mahujaji waliofariki Saudia yafikia watu 1,301
Mamlaka nchini Saudi Arabia imetangaza kuwa idadi ya mahujaji waliokufa kutokana na joto kali wakati wa Hijjah ya mwaka huu imefika watu 1,300 na kwamba asilimia 83 ya waliokufa walikuwa mahujaji ambao hawakusajiliwa. Miongoni mwa raia wa Misri 658 waliokufa…