Category: Kimataifa
Kiongozi wa upinzani aliyechomwa kisu shingoni Korea Kusini ahamishwa hospitali
KIONGOZI wa chama cha upinzani cha Democratic Party cha Korea Kusini, Lee Jae-myung amewahishwa hospitali mjini Seoul baada ya kuchomwa kisu shingoni na mtu asiyejulikana. Shambulio lilitokea wakati Lee alikuwa akikagua eneo lililopendekezwa kufanyika ujenzi wa uwanja wa ndege mpya…
Wizara ya Madini kushiriki Jukwaa la Biashara Uingereza
Na Mwandishi Wetu, London Timu ya Wataalam wa Wizara ya Madini ikiongozwa na Katibu Mkuu Kheri Mahimbali inashiriki katika Jukwaa Maalum la Biashara kati ya nchi ya Tanzania na Uingereza. Wataalam wa Wizara ni sehemu ya ujumbe maalum wa Serikali…
Rais wa Urusi awasili China kujadili vita ya Israel
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amewasili China kukutana na rafiki yake Rais Xi Jinping katika kuimarisha uhusiano wao na kujadili zaidi vita vya Israel na kundi la Palestina la Hamas, mtandao wa India Today umeeleza. China wiki hii inakaribisha wawakilishi…
Hali ya kibinadamu Gaza mbaya, Israel kuanza mashambulizi ya ardhini
Gaza sasa ikiwa imezingirwa kikamilifu na wanajeshi wa Israel na baada ya siku tano za mashambulizi ya mabomu, hali ya kibinadamu inazidi kuwa mbaya. Umeme ulikatika leo baada ya kituo pekee cha umeme katika eneo hilo kukosa mafuta. Hospitali, ambazo…