JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Waziri Mkuu Palestina ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammad Shtayyeh ametangaza kujiuzulu. Akitangaza uamuzi huo leo, Shtayyeh amesema uamuzi huo unatokana na serikali yake kutawala sehemu za Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. “Ninawasilisha kujiuzulu kwa serikali kwa Rais (Mahmud Abbas),” Shtayyeh amesema, na…

Jaji Afrika Kusini afunguliwa mashtaka

Bunge la Afrika Kusini limemfungulia mashtaka mmoja wa majaji wakuu wa nchi hiyo kwa utovu wa nidhamu. Uchunguzi uligundua kuwa John Hlophe, jaji mkuu katika jimbo la Western Cape, alijaribu kushawishi majaji katika Mahakama Kuu ya nchi hiyo katika kesi…

Waziri Mkuu ashiriki mkutano wa tatu wa Kusini wa Kundi la 77 na China

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye umoja wa Mataifa Balozi Hussein Kattanga, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Tatu wa Kusini wa Kundi la 77 na China kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Rwenzori uliyopo katika…

Diplomasia ya Tanzania yazidi kung’ara kimataifa

Diplomasia ya Tanzania imezidi kung’ara kimataifa kufuatia viongozi wakuu kutoka mataifa mbalimbali kufanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha na kudumisha uhusiano na ushirikiano kati ya Tanzania na mataifa hayo. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…

Makombora ya Urusi lawajeruhi 11 wakiwemo waandishi wa habari Uturuki

Shambulizi kombora la Urusi lililolenga hoteli moja katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine wa Kharkiv limejeruhi takriban watu 11, wakiwemo waandishi wa habari wa Uturuki waliokuwa wakiripoti vita hivyo, maafisa wa eneo hilo walisema. Urusi imefanya mashambulizi ya…