Category: Kimataifa
Urusi yashambulia kituo cha kuhifadhi gesi Ukraine
Kituo cha chini ya ardhi cha kuhifadhi gesi nchini Ukraine kimeshambuliwa jana katika wimbi la karibuni la mashambulizi ya makombora ya Urusi kwenye vituo vya umeme. Hayo yamejiri wakati maafisa wakirejesha huduma za umeme katika miji, kuamuru ununuzi wa umeme…
Hamas yasema waliokufa tangu kuanza kwa vita ni 32,142
Wizara ya afya ya Ukanda wa Gaza inayoongozwa na Hamas imesema leo Jumamosi kuwa takriban watu 32,142 wameuwawa huku wengine 74,412 wamejeruhiwa tangu kuanza kwa vita kati ya vikosi vya Israel na kundi la Hamas. Uharibifu unaotokana na mapigano yanayoendelea…
Tanzania, Kenya zakubaliana kutatua vikwazo vya kibiashara visivyo vya kiushuru
Tanzania na Kenya zimekubaliana kuendelea kutatua vikwazo vya kibiashara visivyo vya kiushuru kwa kuwa na Mpango wa pamoja wa kuwianisha tozo, ada , ushuru, ada na sheria au taratibu zinazoathiri biasharabaina ya pande hizi mbilmasharti mengine yanayoathiri biashara pamoja na…
Bila ya amani, hakuna mtangamano na maendeleo
Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimetakiwa kufanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa nchi zao zinakuwa na amani, Umoja na utulivu na kutafuta ufumbuzi wa migogoro kwa kutumia njia zao wenyewe. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Mkutano…
Rais Museveni amteua mtoto wake kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Rais Museveni amemteua mtoto wake wa kiume Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda mkuu wa jeshi, uteuzi huo hata hivyo umezua minong’ono huku wengi wakiamini kuwa Museveni anamsafishia njia mtoto huyo kuwa rais. Muhoozi Kainerugaba anachukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu…
Putin ashinda urais Urusi
Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameshinda uchaguzi wa rais kwa asilimia 87.97 ya kura, kulingana na matokeo rasmi ya kwanza yaliyooneshwa Jumapili baada ya zoezi la kupiga kura kufungwa. Putin,71, aliyeingia madarakani mwaka 1999, alipata muhula mpya wa miaka sita…