Category: Kimataifa
Mkuu wa Majeshi Kenya afariki dunia katika ajali ya helikopta
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Kenya Francis Ogolla amefariki. Rais William Ruto ametangaza kifo cha Ogolla pamoja na maafisa wengine tisa wa jeshi huku wawili wakinusuruka. Ogolla alifariki baada ya helikopta aliyokuwa akisafiria pamoja na maafisa wengine kuanguka Kaben,…
Basi lililojaa abiria lasombwa na maji yenye mafuriko
Watoa huduma za dharura wamekuwa wakiwaokoa abiria waliokuwa wamenasa ndani ya basi lililosombwa na mafuriko kwenye barabara kuu yenye shughuli nyingi kaskazini mwa Kenya. Basi hilo, likiwa na takribani abiria 50, lilikuwa likielekea mji mkuu, Nairobi, kutoka kaskazini mwa kaunti…
Watu 90 wafa maji Msumbiji
ZAIDI ya watu 90 wamefariki dunia baada ya boti yao kupinduka Mamlaka nchini humo zilisema wasafiri hao walikuwa wakikimbia mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu na walikuwa wakitoka Lunga kuelekea Kisiwa cha Msumbiji, kando kidogo ya pwani ya Nampula. Kwa mujibu…
Futari iliyoandaliwa na Biden yasusiwa
Mualiko wa futari wa Biden kusherehekea mwezi Mtukufu wa Ramadhan umesusiwa, huku vikundi vya Waislamu vikisusia na kuandaa maandamano ya kupinga uungaji mkono wa Biden kwa kuzingirwa kwa Gaza na vita vya kikatili vya Israeli dhidi ya Gaza. Ikulu ya…
Tetemeko la ardhi lenye nguvu zaidi katika miaka 25 laikumba Taiwan
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.4 katika kipimo cha Richter lilitokea kwenye pwani ya mashariki ya Taiwan siku ya Jumatano, na kutoa tahadhari ya tsunami katika kisiwa hicho na nchi jirani. Chanzo cha tetemeko hilo kinapatikana takriban 18km (maili…
Malawi yatangaza ukame kuwa janga la kitaifa
Malawi imetangaza kuwa janga la kitaifa hali ya ukame inayokumba sehemu kubwa ya nchi hiyo. Tangazo hilo linakuja chini ya mwezi mmoja baada ya taifa jirani la Zambia kuchukua hatua kama hiyo. Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ameomba zaidi ya…