Category: Kimataifa
Uingereza, Marekani hawaitambui taifa la Palestina
Takriban nchi 140 zimelitambua taifa la Palestina, kulingana na barua ya hivi majuzi kwa Umoja wa Mataifa. Nchi hizo zinajumuisha wanachama wa Kundi la nchi 22 za Kiarabu katika Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Nchi 57 za Ushirikiano wa Kiislamu…
Kiongozi mkuu wa Iran aongoza ibada ya mazishi ya Raisi
Kiongozi mkuu wa Iran ameongoza mazishi ya marehemu rais wa nchi hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje na wengine waliofariki katika ajali ya helikopta siku ya Jumapili. Ayatullah Ali Khamenei aliongoza sala ya mazishi katika Chuo Kikuu cha Tehran. Rais…
Zuma hastahili kugombea katika uchaguzi mkuu Afrika Kusini
Mahakama ya kikatiba ya Afrika Kusini imetoa uamuzi kuwa rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma hastahili kugombea katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu. Inaelezwa kwamba uamuzi huo uliofuatiliwa kwa ukaribu na watu wengi nchini humo…
Yatakayotokea ndani ya siku tano za maombolezo nchini Iran
Iran inapanga kufanya misafara kadhaa ya maombi kwa ajili ya Rais Ebrahim Raisi na maafisa wengine waliofariki katika ajali ya helikopta. Msafara wa kwanza umeanza leo saa 09:30 kwa saa za huko (06:00 GMT) katika jiji la kaskazini-magharibi la Tabriz….
Samatta atwaa ubingwa Ligi Kuu Ugiriki
ATHENS, Ugiriki: Nahodha wa @taifastars_ Mbwana Samatta @samagoal77 ametwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Ugiriki Msimu wa 2023/24. Hilo ni taji la kwanza kwa Samatta nchini humo tangu ajiunge na Paok FC mnamo Agosti 2022, baada ya kuondoka Aston Villa…
India kukabiliwa na joto kali kwa wiki tatu
Idara ya Hali ya Hewa nchini India imeonya kuwa nchi hiyo inakabiliwa na wimbi la pili la joto kali katika muda wa wiki tatu, ikiwemo maeneo ambayo mamilioni ya watu wanatazamiwa kupiga kura katika uchaguzi wa wiki sita. Idara ya…