Category: Kimataifa
Waziri wa vita wa Israel Benny Gantz ajiuzulu
Waziri wa vita katika baraza la dharura nchini Israel Benny Gantz amejiondoa serikalini katika ishara ya kuzidisha mgawanyiko kuhusu mipango ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu baada ya mzozo kuhusu Gaza. Akizungumza wakati wa mkutano na wanahabari mjini Tel Aviv Jumapili…
Hamas yaihimiza Marekani kuishinikiza Israel kusitisha vita
Afisa mkuu wa kundi la Hamas, Sami Abu Zuhri ameihimiza Marekani kuishinikiza Israel kusitisha vita vyake katika Ukanda wa Gaza kabla ya ziara ya Waziri wa Mambo Nje wa Marekani Antony Blinken. Abu Zuhri ameongeza kuwa Hamas iko tayari kukubaliana…
Putin atishia kushambulia magharibi kupitia mataifa mengine
Rais Valdimir Putin ameonya jana Jumatano kwamba Urusi inaweza ikawapatia mataifa mengine makombora ya masafa marefu kwa ajili ya kushambulia maeneo lengwa kwenye mataifa ya magharibi. Hatua hii amesema itakuwa ni jibu ya ruhusa iliyotolewa na washirika wa jumuiya ya…
Waziri Mkuu wa Chad ajiuzulu baada ya mshindi wa kura kuthibitishwa
Waziri Mkuu wa Chad Succes Masra ametangaza kuwasilisha barua yake ya kujiuzulu Jumatano, ikiwa wiki kadhaa zimepita baada ya kushindwa na Mkuu wa Serikali ya Kijeshi Jenerali Mahamat Idriss Deby katika uchaguzi wa rais uliofanyika Mei 6, mwaka huu. Masra…
Watu 85 wauwawa kufuatia mapigano makali Sudan
Shirika la Madaktari wasio na mipaka la MSF limesema takriban watu 85 wamefariki katika hospitali moja kwenye mji wa El-Fasher huko Darfur tangu mapigano yalipozuka kati ya pande zinazozozana nchini Sudan Mei 10. Mkuu wa mpango wa dharura wa shirika…