Category: Kimataifa
Trump tishio jipya Ukraine
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesisitiza umuhimu wa msaada wa Marekani katika juhudi za kurejesha amani nchini mwake. Katika hotuba yake, aliomba usaidizi wa dhati wa Washington kuhakikisha kumalizika kwa vita vinavyoendelea. Wakati huohuo, Rais wa Marekani, Donald Trump, amemkosoa…
Kash Patel achaguliwa kuwa mkuu wa FBI
Juhudi za utawala wa Rais Donald Trump katika kuimarisha usalama wa taifa na idara za usalama zimepiga hatua muhimu baada ya Seneti kupiga kura ya kuidhinisha uteuzi wa Kash Patel kuwa Mkuu wa Idara ya Upelelezi ya Marekani (FBI) na…
UN ina wasiwasi na hatua ya kusonga mbele M23
Kundi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, linasonga mbele kwenye hujuma zake katika maeneo ya kimkakati, mashariki mwa nchi hiyo, baada ya kuiteka miji miwili muhimu. Umoja wa Mataifa umetowa tahadhari hiyo jana Jumatano, ukionesha msisitizo wa kitisho cha…
Rais Donald Trump amuita Zelensky dikteta
Rais wa Marekani Donald Trump amemuita Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine dikteta anayekataa kuitisha uchaguzi na kumuonya kwamba anabidi kuchukua hatua za haraka kutafuta amani au kupoteza nchi yake. “Amekataa kufanya uchaguzi, hana umaarufu katika kura za maoni ya Waukraine…
Marekani yasusia mkutano wa G20 nchini Afrika Kusini
Mkutano wa mawaziri wa masuala ya kigeni wa nchi tajiri duniani (G20) umeanza leo huko Afrika kusini. Hata hivyo, Marekani kupitia Waziri wake wa masuala ya kigeni wa Marekani Marco Rubio haitohudhuria mkutano huo. Marco Rubio alitangaza kutohudhuria kupitia kwenye…
Kenya yaijibu Sudan kuhusu uwepo wa waasi wa RSF jijini Nairobi
Baada ya Sudan kutangaza nia ya kuchukua hatua kali dhidi ya Kenya kwa kile ilichokiita kuunga mkono wanamgambo wa RSF kwa kuwapa nafasi ya kufanya mkutano jijini Nairobi, Kenya imejitokeza kueleza msimamo wake kuhusu suala hilo. Katika taarifa rasmi iliyotolewa…